Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi Me, tarehe kuzaliwa 23/04 jina E
Yeye Ke, tarehe kuzaliwa 20/11 jina A

Ustadhi Rakims
 
Mimi Me, tarehe kuzaliwa 26/05 jina J
Yeye Ke, tarehe kuzaliwa 26/02 jina C
 
Mkuu Rakims mimi ni Me nimezaliwa April 10 jina langu linaanzia na L
Yeye ni Ke amezaliwa january 12 jina lake linaanzia na N
Msaada wako mkuu

NB: amenizidi miaka miwili
@Rakims mkuu nisaidie hapa
 
Rakims, nichekie hapa, Me jina linaanzia na H , tarehe 11/11 . Na Ke jina linaanzia A, tarehe 25/5.
 
mimi Ke: A 20/4
yeye me: A 12/8

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Mimi ME kuzaliwa 16/06 herufi ya mwanzo K

Yeye KE Kuzaliwa 25/08 herufi ya mwanzo K

Tupo kwenye Mahusiano.
 
Mkuu Rakims nijibu na mimi pia napenda kufahamu

Mimi mwanaume, herufi 'F' kuzaliwa tarehe 14 December

Mwanamke wangu nae herufi 'F' kuzaliwa tarehe 24 February

Tupo kwenye mahusiano ya muda kidogo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Me 17/12 F

Ke 09/03 k
 
Huku mwisho ume finished kbsa
 
Mimi ME kuzaliwa 13 mwezi wa 9, jina M.

Yeye KE kazaliwa 31 mwezi wa 10, jina A.

Uhusuano, wapenzi

Mkuu Rakims naomba unichekie hapo.

Rakims Rakims Rakims Rakims
Habari mkuu mnaendana kwa asilimia 75% jambo unatakiwa tu kuvumilia usaliti kwenye hayo mapenzi mlionayo atleast ungekuwa umefikia uchumba nae kwa maana;
Wewe ni mchanga mwekundu na yeye ni maji ya moto mnaendana vizuri kiasi kwa mkusanyiko wenu wawili katika mapenzi mnaingia kwenye mlango wa 2 mlango wa pesa na umiliki utapata mvuto wa pesa ukiwa nae kimapenzi lakini mkitangaza uchumba utaona mambo yanaharibika mtizamo zaidi unaonyesha
Tamaa yake ya kimwili inaweza kukufanya kujikuta jasiri zaidi kila utakavyo kuwa ukikutana nae kimwili au wakati ukimaliza na pia utakuwa na furaha kuwa nae kwa sababu ni mtu mwennye kumiliki vizuri mapenzi na aliyemuaminifu kupitiliza kwa mtu aliyemridhia katika roho yake na hii tu ni kwa yule aliyemridhia rohoni lakini kama haupo rohoni kwake jiandae kusalitiwa na kupewa habari bila woga kuwa anakusaliti na kutoka na mtu mwingine tabia zake hizo mbili nilizokutajia hapo zitakufanya ujihisi ni mtu mwenye bahati katika mapenzi lakini kinyume na hapo utajihisi na mkosi wa mapenzi.
Ulinzi wake wa mapenzi kwako ni kitu kingine muhimu sana kwako na kitakacho kufanya uwe na furaha katika mahusiano yenu pia kati yenu mnaonekana nyote ni wenye kupendezwa na akili za kila mmoja;
Wewe ni mtu wa mantiki,kiakili na mchambuzi mzuri ambapo yeye ni tete na msiri;
wewe utakuwa mwenye kujizuia na kujihifadhi.
Ingawa kwenu mtakuwa na migogoro nani anaetakiwa kuongoza na kuendesha mambo ya mahusiano na maisha yenu lakini inaonekana nia yako wewe ni kumuonyesha kuwa unaelewa na kuheshimu matakwa yake japo sio lazima uyatimize yote.
Huyu ni moja kati ya wenza unatakiwa uishi nae kiakili otherwise umeingia pabaya na kwa wewe unamuweza kwa maana ni mtu mwenye sifa ya uchambuzi.
Ni mtu mwepesi sana kujiliza lakini kuwa makini na machozi yake wakati mwingine sio yale unayomwambia ndio yanamliza bali kumbukumbu na mitizamo yake ya nyuma ndio humfanya awe emotional out-busted (emotional damage)

SEHEMU ZA HISIA:
Sehemu yake ya hisia ni sehemu zake za siri kama hana dildo chini ya uvungu basi jaribu kutafuta sex toys umuwekee karibu haijarishi umri wake.
Ghafla tu huwa na mihemko ya kufanya tendo na ghafla tu hukata.
Una nafasi kubwa ya kusalitiwa akiwa hana hizi toys.
Kama hana muonyeshe kujali kwa kumnunulia it's awkward but you need to strength hayo mawadah.

Rakims
 
Mimi Me, tarehe kuzaliwa 23/04 jina E
Yeye Ke, tarehe kuzaliwa 20/11 jina A

Ustadhi Rakims
Kwa mtizamo unaonenyesha wewe ni mchanga wa fungu na yeye ni maji ya moto. huyu ndio mwenza wako mnaoendana kwa safari nzima ya maisha na anaweza kukukamilisha na kukufaa zaidi na ni perfect match wako kwa sababu;-
Wewe unaonekana ni mtu mwenye stamina na hamu na ana uwezo mzuri wa kukidhi mahitaji yake hasa mkiwa chumbani na mkiwa pamoja ni watu wenye kujiweza kuwasha na kuzima moto wenu wenyewe ni watu mnaweza kugombana dakika 1 kisha ya pili mkaelewana.
Lakini kipi ambacho kinaweza kuwa tatizo kwenu kwa masaa yaliyo baki?
mnaonekana;-
Kwanza kabisa nyote wawili ni wenye wivu wa kupindukia na viburi(wakaidi) tofauti yenu ni kwamba wewe ni mtu unaependa kummiliki mpenzi wako na kama mtu wa thamani sana, kama ilivyo kwa kitu cha thamani.
Na yeye anakuwa ni mtu wa hisia sana.
Ingawa mnashiriki mshikamano mzuri kuhusu maswala ya pesa, yeye ni mfadhili na mtu mwenye dharau na ana asili ya uvivu,
wakati wewe unapenda kutumia kwa kujiridhisha kama wewe.
Jambo lingine nyote wawili japokuwa ni watu mnaendana sana lakini ni sawa na fahari wawili kila mtu anataka awe zaidi na ikitokea mmoja hajakubali kuwa chini ya mwenzie basi ni sawa na nahodha wawili wanaogombania kuendesha meli vita vikizidi chombo kinazama.

Elewa kwa mtizamo huu huyu ni mtu anawezana na watu kama wewe tu akishindwa kuishi na watu wenye mchanga wa fungo ambao wanaweza kummudu ndio hawa wengi utawakuta wengi wao ni single mama nimeelezea hapo kwa mkuu kwenye kipengele cha sehemu za hisia na huyu ni vile vile soma quote kabla ya hii.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…