Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Me 17/12 F

Ke 09/03 k
Ongeza details maana sijaelewa hapo nani ni nani na mahusiano ni yapi na unachotaka kufahamu fanyeni ufafanuzi ili nikijibu nijibu kwa ufafanuzi
 
Hiyo sifa ya kupenda kujiliza umepiga palepale mkuu.
 
Father naomba unisaidie maana nafikiria kumuoa hivi karibuni
Mimi mwanaume nimezaliwa tar 26/12 herufi S
Mke mtarajiwa kazaliwa tar 2/10 herufi N
Tupo kwene mahusiano serious ya kupelekea ndoa
Natanguliza shukrani 🙏🙏
 
Father naomba unisaidie maana nafikiria kumuoa hivi karibuni
Mimi mwanaume nimezaliwa tar 26/12 herufi S
Mke mtarajiwa kazaliwa tar 2/10 herufi N
Tupo kwene mahusiano serious ya kupelekea ndoa
Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
Muombe MUNGU akusaidie,huyo ni binadamu mwenzako tu,hana msaada wowote juu ya hatma ya maisha yako,hata yeye ana matatizo yake yanayomsumbua na hana Majibu km Mimi na wewe tu tunavyosumbuka.
 
Andika kwa usahihi kisha ongeza details vipi mimi nikijibu,

andk kw ushh ksh ongez drls? (utaelewa au utapanda kisirani)?
Oky nilishaweka details hivi huko juu

Me 16/04 F
Ke 29/10 S
 
Mkuu Rakims wewe umejaaliwa sana naomba sana msaidie na rafiku yangu yeye mahusiano yake details zao ni

Jinsia Me: kuzaliwa ni tarehe 27/08JIna E

Jinsia Ke: Kuzaliwa ni tarehe 20/11, Jina A

Tunawapenzi wamezaliwa tarehe ziinafanana na Herufi za majina tupo pacha kwa kila jinsia zetu


Sina swali wewe hubahatishi
 
Na ni kweli hata hisia zake umepatia, ya ziada unitupie ujumbe inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…