Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi Me, tarehe kuzaliwa 26/05 jina J
Yeye Ke, tarehe kuzaliwa 26/02 jina C
Tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi
 
karibu wewe utupigie patanishi
Mimi sipigi Ramli. Mimi nina mamlaka ya kung'oa, kuharibu, kutengeneza na kujenga kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai. Naomba nijifunze kitu toka kwako bro, unalijuaje Jina la Yesu?
 
Mimi mwanaume, nimezaliwa 14/06 A
Mwenzangu 19/03 V
 
Wewe atakuacha kwa kuwa ni maskini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

🫠🫠🫠
 
Muombe MUNGU akusaidie,huyo ni binadamu mwenzako tu,hana msaada wowote juu ya hatma ya maisha yako,hata yeye ana matatizo yake yanayomsumbua na hana Majibu km Mimi na wewe tu tunavyosumbuka.
Ni kweli ulichosema lakini kwa jibu lako ni zito kuliko sehemu ambapo umequote na ulitakiwa uwekee uzito tu pale ambapo angekuwa kanipa sifa ya Uungu mkuu lakini kaomba msaada kama vile wewe unavyoweza ku run kwa daktari na kumwambia una tatizo la Erectile dysfunction ina maana kuna shida ambazo Mungu anasaidia mtu kupitia mtu kuna watu zaidi ya Milioni kwenye hii Forums lakini ni wachache sana wamejaliwa kuona hii thread na hususani inaowahusu.
Sasa jiangalie kile unacho quote yawezekana nia yako ikawa ni nzuri lakini nguvu yako elekezi kwenye kujibu hoja ya mtu ikawa umekosea ni bora ungesema atakusaidia kwa pale alipojaliwa na Mwenyezi Mungu ningekuona kidogo una lengo nae zuri pia kama umepitia kuona watu wote wanaopata majibu hata wanaambiwa mtizamo unaonyesha/Unaelekea hii sio Ghaib (which is sin) hii ni aspect kama vile ambavyo wewe unafanya japo na kuangalia the consequences.

Asilimia kubwa ya watu kama wewe ni watu ambao wamekufa wameoza katika mahusiano ambayo hayawezekaniki na hata akiambiwa haelewi anakuwa anaupofu wa mapenzi (This is also aspect) yawezekana hata umri wa kuanza kufikiria ndoa bado. Kama ni mtu mzima mwenye akili timamu kwa muda niliopoteza kukujibu hili utakuwa umepata kutambua jambo.
Lakini kama ni mpuuzi kama wapuuzi wengine hapa nitakuwa nimekuwasha moto wa kuzidi kuquote Pumba.

Rakims
 
Wewe ni binadamu tu Mzee,huna uwezo wa kujua maisha yangu au ya Mwanadamu mwingine yeyote, Mungu tu ndiye mjuzi wa mambo yote hata yaliyofichika.Rakims usikubali hata siku moja kufananishwa na MUNGU,mtu akikutaka msaada au kukushukuru kana kwamba wewe ndio mjuzi wa mambo yote Kataa kwa nguvu zako zote mwambie hivi,"Mimi ni kiumbe mdogo tu, muombe MUNGU mweza wa yote na km ni kushukuru mwambie amshukuru MUNGU".
 
Hujaniona kwenye maisha ya kawaida tofauti na humu na ungeweza kukutana na watu ambao huwa nazungumza nao na kuwasaidia kwa kile nilichojaliwa sehemu niliyoweka mark nyekundu katika vile ambavyo hujitoa kwenye (kufuru na shirki) nikiwa nazungumza na mtu basi hicho ulichosema ni asilimia 5.0% na asilimia zilizobaki humuelewesha na kumfundisha vingi kwa hekima hivyo usinihukumu kwa kuwa hunifahamu na wala sina haja ya kujitetea kwako kwa maana wengi wenu hujivisha kivuli cha imani hali ya kuwa imani yenyewe hamna.

Mfano wewe unaniona mimi kumuelekeza mtu kutokukosea mahala pa kuoa kwa mtizamo wa kwamba hapo anapokwenda atatokea na yeye mwenyewe akakubali tabia zake na alizomuona huyo mwanamke. Nafanya makosa na najivisha vazi la Mungu kwa uelewa wako finyu sana lakini kusaport ngono/zinaa unaona ni sawa na nikitendo cha kutangaza kwamba umewahi kuzini au unazini rejea ya uzi wako


Na kama haitoshi ukasema kabisa kwamba umewahi kuzini na wanawake tofauti tofauti warefu, wafupi,wenye lipsi nyembamba n.k rejea uzi wako


Pia


Still bado unaona ninachofundisha ni upotoshaji na najivika vazi la uungu ila wewe unasahau amri kumi za Mungu na Aya inayokataa msizini wala mafundisho yanayokataza zinaa whom ever the imbic*le you are katika imani kama haitoshi unaona sifa kwa kutangaza na kuomba ushauri jinsi ya kutengeneza Ulevi ni unashangaa wanaokushauri uache utamu wa Ulevi.
Rejea katika uzi wako


Na kama haitoshi huyo Mungu unaetuletea unafiki wa kujifanya unamjua sana ukaenda kumkosoa kwa kutangaza viumbe wenzako aliyowaumba kwa kuwaita wana sura ngumu ya kwako laini ipo wapi uliiweka tukaona?
Rejea katika uzi wako.


Ndio maana nilikwambia kwa the next quote utakayotoa nitajua kabisa ni mjinga au mpuuzi kiasi gani na wala hukulifikiria hilo mara mbili watu wanaweza kuniona mbaya kukuita mpumbavu lakini wakipitia rejea zako watajua ni kwa nini.
Na vile ulivyokuwa low thinker na hutaki kuelewa hata mtu akijaribu kukuelewesha upeo wako mdogo na akili yako ya kitoto tunaiona pale ulipoanzisha thread yako ya KULAMBA MAKAMASI


Sikulaumu kufanya utoto huo kwa maana ya umri uliokuwa nao lakini nakushangaa kwa akili unazojiona upo nazo mwenyewe umebarikiwa unamjua Mungu still bado unapost akili zako za makamasi halafu unataka kupinga hoja ambayo hujui mwanzo wake wala mwisho hata maana yake.

Kuna member aliwahi kuzungumza humu watu wanaotoka jamii Intelligence jitahidini kuongea nao kwa hekima watawajibu kwa hekima kwa maana lile jukwaa lina watu wake sidhani hata kama uliona thread inayosema hivyo still bado unaquote pumba mara ya pili.
Haya rudia tena mara ya tatu ndio tujue kweli wewe Akili kamasi.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…