Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

ME
30/01 Jina K.

KE
17/03 Jina A.

Hasa upande wa fedha na ndoa. Rakims
Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotulia
Hivyo kwa mtizamo ni watu ambao hamuendani maana mnaendana kwa asilimia 38 ambazo ni ndogo sana katika mahusiano yenu na ufuatao ni uchambuzi wako;

Unaonekana ni mtu mwenye kuvutiwa na haiba yake ya kimapenzi na vile vile yeye anavutiwa zaidi na maadili na maono yako dimbwi lake la mawazo anaonekana kuliwazika zaidi na chochote kile ambacho wewe unataka kwake na ni watu wenye uwezo mzuri wa kufikishana kwenye ladha ya mapenzi. Ingawa kwa vyovyote vile mnavyokuwa mambo huanza kwenda kombo pale ambapo yeye huanza kutaka na kulazimisha zaidi wewe kwenda katika ulimwengu wake wa ndoto za mchana katika mapenzi na kuota kufanya mambo makubwa na kukulazimisha kufanya hata kama huna uwezo navyo yeye ni mtu mwenye kutaka mtu ambaye atakuwa thabiti katika kumuongoza kila wakati na kumpeleka kimazungumzo anavyotaka yeye na ni uwe mtumwa wake zaidi ndivyo yeye anavutika zaidi hivyo mtu anaemfaa zaidi huyu ni wenzie either mwenye maji moto au maji ya bahari kwa wewe ni bora uangalie uelekeo mwingine kwa maana hapo utapasuka roho.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA;

Miguu ndio sehemu yake kuu ya hisia ukiweza kucheza nae vizuri hapo unaweza kupewa unachotaka.
 
mimi ME 27/5 jina K
yeye Ke 25/6 jina M
Mahusiano haya yanaonyesha kwa yeye mwenye mapenzi ya hamu na shauku huweza kukutimizia wewe mwenye mahitaji ya kimwili zaidi

Furaha yako yako katika tendo huangaza tabia yake yeye ingawa mapenzi yenu huwa matamu mwanzoni lakini huwa hayana maisha marefu tabia yako ya michepuko/ kuchezea mapenzi humtia kovu yeye mwenye hisia kali sana za mapenzi zilizojificha,

Tabia yako na style yako ya kutongoza humfanya awe ni mwenye kujihisi kuwa huwezi kumlindia mapenzi yake nae kuliko kuumia atataka ajiengue taratibu. Wawili nyie hamna maisha marefu ya mahusiano kila mtu atashika njia yake.

Maana yeye ni mwenye kuhitaji mtu mwenye kulinda mapenzi na tegemezi, wakati wewe ni mwenye kupenda kuchangamshana na hupendi kufungwa fungwa na vile vile wewe ni mtu usiye na subira kwake kwa maana utafikia sehemu umuone kama drama queen na vile vile ulimi wako wenye maneno makali ni mchachu sana kwa yeye kuvumilia ambaye yeye ni mwenye Gubu la mara kwa mara.

Nyie mahusiano yenu mnahangaika kupandisha maji mlima.

Rakims
 
Mimi Me 12/08 J
yeye Ke 08/12 V
Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si hapa nae ni moto wa nyasi na wewe ni moto wa mkaa tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu
Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa na kama kuna mtu wa kumfanya mwanamume mwenye tabia kama za huyu wako kuwa muaminifu na mtulivu basi ni mwanamke kama wewe waswahili wanasema unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.

Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo

Rakims
 
June 18, H - me
January 26, F - ke
Rakims

Cc Lenie utanisomea majibu
Wawili nyie ni wenye kuendana na maarufu sana katika historia za kuendana kwa mahusiano haya wote mnakuwa mnashare ladha moja ya riwaya, kusafiri, kukutana na watu wapya,

kwa maana nyote wawili ni watu msio tabirika.
Mambo hayawezi kuwa laini siku zote lakini kwa suala la mapenzi kwa wawili nyie utakuta kila siku mambo yanaenda vema.

kwa maana yeye anakuwa anavutika sana na wewe kwa akili yako na tabia ya kuwa na furaha.

Kama wewe ukiwa sio mwenye kubadirika kwa kiasi fulani maana una katabia kako ka uzinzi wa kisiri siri ukiweza kukamudu hako. Japokuwa kwa yeye tabia hii anaijua ila haichukulii uzito sana kama watu wengine japo machoni hawezi kukuonyesha hilo.

Lakini yeye ni moja kati ya watu anapokuwa na wewe anaweza kuonyesha tabia za wivu lakini ukimuondoka atasema muacheni akale maisha lakini kwangu atarudi.

Na nyinyi hata kama mahusiano yakifa basi mna uwezo mkubwa wa kuendelea kuwa marafiki na hata mara zingine ikitokea mtakuwa mnapasha kiporo.

Katika ndoa,
Nyote wawili mnakuwa ni wenye kufurahia ukaribu wa mwenzie zaidi ya ukaribu wa kimahaba

Rakims
 
May 6,K~me
Sept 27,M~ke
Wewe utamuona yeye ni mwenye majoto katika mapenzi na mwenye kuwa na utamu wa mahaba na mwenza mwenye ladha ya kitofauti.

Kiasili yeye ni wale watu wenye asili ya kuzaliwa na mtizamo wa mahaba yaani wanatawaliwa na sayari ya mapenzi,

Hivyo mvuto na hisia kali ni kitu cha kawaida sana kwao, tukija kwa wewe mwenye kiburi na mbishi katika suala la pesa wawili nyie ndio itakuwa utata kwa maana wewe una damu ya kibahiri

Yeye sio mwenye kuheshimu pesa sawa na wewe jinsi ulivyo, Japokuwa nyote ni wenye kupendezewa zaidi na kuvutiwa na vitu vizuri.

Nyote wawili ni wenye nyota zinazotawaliwa na sayari moja ya Zuhura hivyo mapambo na hisia za kimapenzi ni kitu kinaenda sawa kwenye japo katika kuelezea au kuonyesha na kuelewa kwenu mapenzi ni falme mbili tofauti zisizo endana yaani mfano wote wawili mna mapenzi lakini mmoja mapenzi yake ni pesa na mwingine mapenzi yake ni ng'ono.

Ndani ya muda mchache yeye ni rahisi sana kukutia jazba wewe mwenye asili ya ujeuri.

Kwa maana katika watu wasiopenda kutawaliwa kwenye mahusiano na yeye huyu yupo pia.

Sasa bila kuficha mahusiano yenu ni matamu mwanzoni lakini mkisogeleana karibu ukakasi unaanza.

Wala nyie hamuwezi kudumu.

Ni bora kila mtu aende na uelekeo wake

Rakims
 
Mimi (Me) : 20/05 , F
Yeye (Ke) : 30/06 , A

Rakims
Nyote wawili mna mengi mnayoendana.

Wote ni wenye kupenda maisha ya nyumbani, wapenda hisia, na hasa kwenye kufanya mapenzi.

Wewe ni mwenye kupenda kwenda pole pole na na vile vile kupenda vitu asilia ambapo ni mvuto mkubwa kwake katika ugonjwa wake wa kuwa na mood zenye kubadirika badirika, ingawa muda mwingine kupenda kwake kuongea kwa uwazi kunakutaka wewe kuwa makini sana kutokumharibu hisia zake kwa maana ni mtu yupo kihisia zaidi na ukimuingia ndani zaidi utaona ni mtu wa kupenda kulia, yeye anataka mtu ambaye ni mwenye nguvu mwenye nyota yako kwa ajili ya kumtegemea kwa kila jambo, baadae utaona ukimtimizia atakupa uaminifu mkubwa wa mapenzi na kukwambia kila siri yake hata wanaomtaka atakuorodheshea, wewe ni mwenye kubana uchumi na kutunza vema na yeye pia ni mtu mwenye kupenda kujibana na kutunza akiba hivyo nyote wawili mna lengo moja au malengo sawa.

Masilahi yenu pamoja na matamanio yenu sawa basi huleta uhusiano mzuri wenye baraka, ukimuoa huyu hujapoteza.

Rakims
 
Mimi (Me) : 20/05 , F
Yeye (Ke) : 30/06 , A

Rakims
Asili yako ni watu wenye kukubali watu kama wao, hivyo kwa nyie wawili mnaendana sawa nyota kitu kinachopelekea kuwa ni watu wenye kutokukoseana heshima na kuwakilishana,

Nyote wawili ni wenye tahadhari, wenye kujiheshimu na wenye kufanya kazi kwa bidii na kupenda kutunza akiba. Lakini hata wenye nyota sare mara nyingine wanaweza kuwa na changamoto.

Nyie ni wenye kuendana kingono ama tendo la ndoa inategemea na state ya mahusiano, Lakini katika masuala mengine kila mmoja ni mwenye kusababisha mwenzie kuwa na huzuni na mwenye kukata tamaa,

Kati yenu hakuna anaeweza kumpumzisha mwenzie hata kupumzisha tu nywele yake ukimaliza hili linakuja hili,

Mkiwa ni wa kuhusiana tu yaani mahusiano ya kawaida tu kama mtu na hawara yake kila mtu ana mambo yake mtaona mpo sawa japo sio sawa kabisa kupitiliza. Safari ya mapenzi yenu kadri inavyosogea mbele ndivyo inavyozidi kuwa kwenye mteremko mkali saa yoyote mapenzi yanakufa unabaki ujamaa.

Rakims
 
Me tarehe 5 Mwezi wa sita =N

Me tarehe 11 mwezi wa pili= A

Sent using Jamii Forums mobile app
Wawili nyie ni wenye kuendana na maarufu sana katika historia za kuendana kwa mahusiano haya wote mnakuwa mnashare ladha moja ya riwaya, kusafiri, kukutana na watu wapya,

kwa maana nyote wawaili ni watu msio tabirika. Mambo hayawezi kuwa laini siku zote lakini kwa suala la mapenzi kwa wawili nyie utakuta kila siku mambo yanaenda vema.

kwa maana yeye anakuwa anavutika sana na wewe kwa akili yako na tabia ya kuwa na furaha.

Kama wewe ukiwa sio mwenye kubadirika kwa kiasi fulani maana una katabia kako ka uzinzi wa kisiri siri ukiweza kukamudu hako. Japokuwa kwa yeye tabia hii anaijua ila haichukulii uzito sana kama watu wengine japo machoni hawezi kukuonyesha hilo.

Lakini yey ni moja kati ya watu anapokuwa na wewe anaweza kuonyesha tabia za wivu lakini ukimuondoka atasema muacheni akale maisha lakini kwangu atarudi.

Na nyinyi hata kama mahusiano yakifa basi mna uwezo mkubwa wa kuendelea kuwa marafiki na hata mara zingine ikitokea mtakuwa mnapasha kiporo.

Katika ndoa,

Nyote wawili mnakuwa ni wenye kufurahia ukaribu wa mwenzie zaidi ya ukaribu wa kimahaba

Rakims
 
Mahusiano haya yanaonyesha kwa yeye mwenye mapenzi ya hamu na shauku huweza kukutimizia wewe mwenye mahitaji ya kimwili zaidi

Furaha yako yako katika tendo huangaza tabia yake yeye ingawa mapenzi yenu huwa matamu mwanzoni lakini huwa hayana maisha marefu tabia yako ya michepuko/ kuchezea mapenzi humtia kovu yeye mwenye hisia kali sana za mapenzi zilizojificha,

Tabia yako na style yako ya kutongoza humfanya awe ni mwenye kujihisi kuwa huwezi kumlindia mapenzi yake nae kuliko kuumia atataka ajiengue taratibu. Wawili nyie hamna maisha marefu ya mahusiano kila mtu atashika njia yake.

Maana yeye ni mwenye kuhitaji mtu mwenye kulinda mapenzi na tegemezi, wakati wewe ni mwenye kupenda kuchangamshana na hupendi kufungwa fungwa na vile vile wewe ni mtu usiye na subira kwake kwa maana utafikia sehemu umuone kama drama queen na vile vile ulimi wako wenye maneno makali ni mchachu sana kwa yeye kuvumilia ambaye yeye ni mwenye Gubu la mara kwa mara.

Nyie mahusiano yenu mnahangaika kupandisha maji mlima.

Rakims
Kaka nimekubali uko sahihi kabisa 90%
 
Wawili nyie ni wenye kuendana na maarufu sana katika historia za kuendana kwa mahusiano haya wote mnakuwa mnashare ladha moja ya riwaya, kusafiri, kukutana na watu wapya,

kwa maana nyote wawaili ni watu msio tabirika. Mambo hayawezi kuwa laini siku zote lakini kwa suala la mapenzi kwa wawili nyie utakuta kila siku mambo yanaenda vema.

kwa maana yeye anakuwa anavutika sana na wewe kwa akili yako na tabia ya kuwa na furaha.

Kama wewe ukiwa sio mwenye kubadirika kwa kiasi fulani maana una katabia kako ka uzinzi wa kisiri siri ukiweza kukamudu hako. Japokuwa kwa yeye tabia hii anaijua ila haichukulii uzito sana kama watu wengine japo machoni hawezi kukuonyesha hilo.

Lakini yey ni moja kati ya watu anapokuwa na wewe anaweza kuonyesha tabia za wivu lakini ukimuondoka atasema muacheni akale maisha lakini kwangu atarudi.

Na nyinyi hata kama mahusiano yakifa basi mna uwezo mkubwa wa kuendelea kuwa marafiki na hata mara zingine ikitokea mtakuwa mnapasha kiporo.

Katika ndoa,

Nyote wawili mnakuwa ni wenye kufurahia ukaribu wa mwenzie zaidi ya ukaribu wa kimahaba

Rakims
Depal
 
Back
Top Bottom