kitulike
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 286
- 648
Asante kwa muda wako ingawa nimetafuta sehem ulionijibu sijaonaDone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa muda wako ingawa nimetafuta sehem ulionijibu sijaonaDone
Uko sahihi Kaka .... shukranWawili nyie ni wenye kuendana na maarufu sana katika historia za kuendana kwa mahusiano haya wote mnakuwa mnashare ladha moja ya riwaya, kusafiri, kukutana na watu wapya,
kwa maana nyote wawaili ni watu msio tabirika. Mambo hayawezi kuwa laini siku zote lakini kwa suala la mapenzi kwa wawili nyie utakuta kila siku mambo yanaenda vema.
kwa maana yeye anakuwa anavutika sana na wewe kwa akili yako na tabia ya kuwa na furaha.
Kama wewe ukiwa sio mwenye kubadirika kwa kiasi fulani maana una katabia kako ka uzinzi wa kisiri siri ukiweza kukamudu hako. Japokuwa kwa yeye tabia hii anaijua ila haichukulii uzito sana kama watu wengine japo machoni hawezi kukuonyesha hilo.
Lakini yey ni moja kati ya watu anapokuwa na wewe anaweza kuonyesha tabia za wivu lakini ukimuondoka atasema muacheni akale maisha lakini kwangu atarudi.
Na nyinyi hata kama mahusiano yakifa basi mna uwezo mkubwa wa kuendelea kuwa marafiki na hata mara zingine ikitokea mtakuwa mnapasha kiporo.
Katika ndoa,
Nyote wawili mnakuwa ni wenye kufurahia ukaribu wa mwenzie zaidi ya ukaribu wa kimahaba
Rakims
Mimi me jina E tareh 19/06/1992
Yey ke Jina L tarehe 23/05 /
Nasubir mkuu
😃😃Ubishi Ubishi tumeachana siku ya 3 leo atuwasiliani afu Jambo ata halieleweki...mi gari lishawaka Ni swala la muda tu hatoamini macho ake..nimekubali kushika mengineKwa mtizamo unaonenyesha wewe ni maji ya moto na yeye ni mchanga wa fungu. huyu ndio mwenza wako mnaoendana kwa safari nzima ya maisha na anaweza kukukamilisha na kukufaa zaidi na ni perfect match wako kwa sababu;-
Yeye anaonekana ni mtu mwenye stamina na hamu na ana uwezo mzuri wa kukidhi mahitaji yako hasa mkiwa chumbani na mkiwa pamoja ni watu wenye kujiweza kuwasha na kuzima moto wenu wenyewe ni watu mnaweza kugombana dakika 1 kisha ya pili mkaelewana.
Lakini kipi ambacho kinaweza kuwa tatizo kwenu kwa masaa yaliyo baki mnaonekana;-
Kwanza kabisa nyote wawili ni wenye wivu wa kupindukia na viburi(wakaidi) tofauti yenu ni kwamba yeye ni mtu anaependa kummiliki mpenzi wake na kama mtu wa thamani sana, kama ilivyo kwa kitu cha thamani na wewe unakuwa ni mtu wa hisia sana.
Ingawa mnashiriki mshikamano mzuri kuhusu maswala ya pesa, wewe ni mfadhili na hudharau uvivu,
wakati yeye anapenda kutumia kwa kujiridhisha kama yeye na ni jambo lingine nyote wawili japokuwa ni watu mnaendana sana lakini ni sawa na fahari wawili kila mtu anataka awe zaidi na ikitokea mmoja hajakubali kuwa chini ya mwenzie basi ni sawa na nahodha wawili wanaogombania kuendesha meli vita vikizidi chombo kinazama.
Elewa kwa mtizamo huu ukishindwa kuishi na watu wenye mchanga wa fungo ambao wanaweza kukumudu wewe basi utaishia kuwa mpweke na kila mtoto kuwa na mama yake kama mlivyo na sifa hii wengi wenye maji ya moto
Pole sana[emoji2][emoji2]Ubishi Ubishi tumeachana siku ya 3 leo atuwasiliani afu Jambo ata halieleweki...mi gari lishawaka Ni swala la muda tu hatoamini macho ake..nimekubali kushika mengine
Kuhusu watoto mungu tu asaidie makeeeeeee[emoji850][emoji850]nlikua sjapanga kabisa kuzaa watoto na mama tofauti Ila ndo hivyo tena... nothing guaranteed forever!
Pitia hapa kama unahitaji darasaAiseeeh... unajuaje haya mambo mkuu..
Mahusiano haya ni ya watu wawili wasioendana sana hasa ukizingatia tabia ya majivuno na kujiona ya yeye ni machukio kwako na utajikuta hupendezewi na kutaka kwake kutukuzwa kwa kila jambo.Mke tarehe 19 September
Mume tarehe 31 July
Tiririka hapo Mkuu Rakims.
Natanguliza shukrani nyingi.
Mahusiano haya ni baina ya moto wa nyasi kwa moto wa nyasi moja kwa moja unaweza kusema ni mfano watoto mapacha yaani wenye kufanana sana.Mimi [emoji1485]Me 13/12 G
Yeye[emoji1485] Ke 20/12 R
Mkuu Rakims[emoji1488]
wewe unaonyesha ni mtu mwenye asili ya upepo wa juu na pia yeye anaonekana ni mtu mwenye asili ya udongo mwekundu;
Katika mahusiano haya ni baina ya Moto wa jaha na mchanga wa fungu,Me: 10 Aprily Jina E
Ke: 6 sept Jina F
Katika mahusiano haya mnaonekana ni wawili msioendana hasa ukizingatia kwamba wewe ni mchanga wa bahari na yeye ni Upepo wa kimbunga;