proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No free lunch mkuu,sio mbaya mkimchangia hata ya soda..Hawezi kuja huyo, lengo lake sio kutoa msaada humu bali ni kiwapiga pesa. Na ndio maana katoa maelezo mengi halafu kaweka na namba za simu ili wakuingia kingi aingie kwa kumtafuta kwenye simu. Angekuwa mtoa huduma angewajibu watu humu ila ni mtumia fursa huyo
Kwa mtizamo wewe unaonekana ni upepo wa chini na yeye ni maji yaliyotulia(kisima) kwa muunganiko huu inaonyesha dhahiri kwamba ni watu wawili hamuendani hata kwa kuendana kwenu ni kwa asilimia 9 pekee hivyo kwa hapa hata urafiki tu kwa ushauri huwezi kuwa nae kirafiki hakuna popote ambapo mnaendana maana hata kwenye kukutana kimwili ni asilimia 15 tu hakuna kitu kinaenda pamoja nae rohoni ni mtu hamuendani kwa vyovyote lakini kama tu unataka kujua muunganiko wenu hakuna kwenu nyinyi ni baina ya mbingu na ardhi na hata ukilazimisha sana utajitesa wewe na ndugu,jamaa,marafiki hakuna atakae mkubali labda kwa miujiza ya Mwenyezi Mungu jitahidini kila mtu atizame muelekeo mwingine.Ke ni 7/3 herufi H..Me ni 8/6 herufi R
Nimeomba urudishe kuandika quote yako ikiwa imejitosheleza na sio mimi kuanza kurejea kurudi kwenye quotes za nyuma kutafuta ulisema nini kuna shida?Mkuu hivi ni kweli hunielewi .....mbona nimeandika clear kabisa ....
Me na ke nimeainisha vizuri kabisa hapo .....mm ni Me.
Kwa mtizamo wewe unaonekana ni mwenye asili ya maji ya bahari na yeye ni moto wa mkaa hivyo kwa mchanganyiko huu sio mzuri sana kindoa kwa maana ni baina ya maji na moto wewe utakuwa kwake ni kama unazima mambo yake na wewe anakuwa anakukausha kuna mambo unakuwa unakosa,Mimi ni mume jina linaanzia I tarehe ya kuzaliwa 26/06 na mke wangu ni M tarehe ya kuzaliwa 15/08
Me ni A trh 28/8Ongeza details mkuu watu wa jamii forum kuwafahamu jinsia ni ngumu changamanua kama nilivyohitaji kwenye thread
Mkuu nilikuwa nimebanana kidogo niwie radhi kila anaeweka details huwa najibu nimekujibu hapo.Rakims Mimi nimeoa Ila nishaweka taarifa Mara mbili unanipita tu.
Mimi ni mwanaume jina linaanzia I tarehe yangu 26/06 na mke ni M tarehe 15/08
Mimi ni Me jina linaanza na A na tarehe ya kuzaliwa ni 28/8Soma thread tena mkuu utajua ni vitu gani navihitaji