Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Wewe ni moto wa jaha na yeye ni moto wa nyasi ni watu mnaendana vizuri tu ya kuzingatia ni kwamba yeye na wewe nyote mna moto wenye kufanana kwa maana moto wa nyasi huwezi kuanza wenyewe na pia moto wa jaha huzuka tu na kuwaka wenyewe hivyo couple yenu ni nzuri ila ina vichekesho vingi.
Nyote wawili ni wenyhe kujituma na wenye kujishughulisha vema na wenye kupenda kuwa pamoja au kutoka pamoja na pia nyote wawili ni wenye kupenda raha au maisha mazuri na vilevile kutakuwa kati yenu kuna migogoro kwa sababu nyote ni wakali na wenye kupenda ukweli hivyo mabishano yatakuwepo na yakianza nyumba inakuwa kama kunawaka moto.
Ufanyaji wako wa tendo kwa vurugu kama unakimbizwa sio kila mara yeye atavumilia
Pia hata hivyo katika mna hisia za ajabu mkiwa pamoja hali ya ucheshi na kufurahia ushirika wa kila mmoja.
Ikiwa mtafanya tendo katika chumba cha kulala, basi mtaweza kufanya kila mahali pengine.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA:
Sehemu zake kuu za hisia ni kwenye miguu na mapacha yake unaweza kurudi kwenye quotes za nyuma ukaona kuna mtu nimeshamuelezea

Rakims
Daah wee jamaa hatari
 
Mna uhusiano gani?
Mimi mwanaume kuzaliwa 17-05 jina linaanza herufi I

Mwanamke wangu amezaliwa 21-05 jina linaanza herufi H

Uhusiano ni mpenzi tunaishi pamoja sijamuoa bado

Mimi ni mwanaume
 
Sawa nimekupata hapa japo hujasema mna mahusiano gani
Ipo hivi kwa mtizamo wewe ni mwenye asili ya mchanga wa bahari na yeye ni moto wa nyasi kwa haraka tu hapa mnakuwa hamuendani mkuu kwa maana mpo tofauti sana kwa maana;- wewe unaonekana ni mwenye kufurahiwa sana na yeye kwa kipindi cha awali na yeye utamuona ni mwenye matumaini makubwa lakini vile vile yeye mtizamo wake kwako anakuona ni sawa na mtu aliyejitosheleza lakini nyote kwa pamoja kwenye mahusiano yenu mapema sana utaanza kukasirishwa na matakwa yake ya uhuru bila masharti. Utahisi kuwa huna uwezo tena wa kuweza kumuamini kwa maana tabia za kutaka uhuru zaidi zitatia dosari mahusiano yenu
Na tabia ya kujichanganya, matumizi na kutokujali kwake ikianza kujidhihirisha moja kwa moja na wewe mshipa wa subira utakatika kwa maana matakwa yako yanaonekana ni mtu mwenye kutaka mke ambaye atatulia nyumbani/ndani lakini yeye ni mwenye kutaka mume mwenye kumruhusu kufanya chochote anachotaka muda wowote.
Kamba yoyote au lolote linalowaunganisha kuwa kwenye mahusiano au ndoa basi haina maisha marefu na huishia kukatika.
Ni mpenzi tuna miaka mitatu ya mahusiano ndoa bado. Nashukuru mkuu.
 
Kati yenu kuna mvuto mkubwa sana wa kingono na pia mnaendana vizuri na kimtizamo mnaendana vema sana kwa maana yeye ni mchanga wa bahari na wewe ni maji ya bahari hivyo mna mtizamo mmoja katika mambo yenu mengi na mnaendana kwa asilimia nyingi;
Kama mtaweza tu kuwezana tabia zenu basi moja kwa moja mtakuwa na mahusiano yenye bahati na mafanikio makubwa kindoa mfano wake utasikia watu huyu kaoa leo nyota yake imeng'aa au mafanikio yake yamefunguka yupo vizuri kwa kila sekta hii ni kwa maana kuwa hata mkiingia kindoa mnapatikana katika mlango wa 12 yaani mzunguko mzima wa nyota 12 unakuwa pamoja na nyinyi bega kwa bega na kila mmoja wenu anakuwa kayapatia maisha na hakuja haja ya kuhofia riziki kwa maana kwenu mkiwa pamoja kila jambo huenda vizuri na kwa ufasaha zaidi.
Lakini kwenye mlango wa kazi pia unatakiwa sana ujitahidi kumuachia yeye pia afanye kazi na kama ni biashara mpe nafasi ya yeye kuisimamia utaona maajabu ya Mungu kwa maana wewe asili yako ni mazingira ya nyumbani na yeye ni mtafutaji mzuri na ana nyota ya mafanikio na ndio bahati yako imelalia kwake usije kumvuruga wala kumuharibia muelekeo kwani huyu unaweza kutembelea nyota yake pindi utakapofunga nae ndoa na ukitaka kuthibitisha hapa kwa watu kwamba haya mambo sio kubahatisha basi muoe siku ya jumatatu kama sio saa 1 asubuhi saa 8 mchana na kama sio hapo basi saa 3 usiku utajiuliza ulichelewea wapi kwa maana usiku wa kwanza tu mmeanza kuitumikia ibada ya ndoa matunda yake siku inayofuata hadi kuingia usiku utaona matokeo na hapa nazungumzia ndoa sizungumzii uhawara.
ni mtu sahihi kwako na ana maslahi mengi na hutaamini ukiwa nae.
na pia ni mtu ambaye anaweza kukukamilishia all the attention you need. Na vile wewe ni mtu wa aibu na mwenye hisia kali na kupenda kukosoa basi huyu kwako ni sahihi;-
Mtizamo unaonyesha wewe ni mtu wa aibu,hisia na mwenye kutaka affection wakati yeye ni mtu wa kuondoa aibu,kuponya maumivu ya hisia na kutawala ndio sifa zake basi popote utakapo hisi you are down she will lift you up haijarishi kipesa mawazo au hisia.
Tofauti zenu zinaweza kuwa kubwa sana ambazo zitaleta furaha za muda mrefu, yaani hapo ni mfano wewe ni hasi na yeye ni chanya. Perfect Match.

Rakims
Shukran sana mkuu nadhani huu ni kama mchuzi tu kwenye mtori nyama ziko chini unaweza ku dig down kidogo inaonyesha unanifahamu vyema.
 
Rakims

mimi wangu kazilwa 14/8
mimi nimezaliwa 14/3

majina lake linaanza na V
jina langu linaanza na S.

hembu chambuaaaaaa
 
Tulipue
IMG-20220417-WA0005.jpg
 
Mimi ni ME,jina S-01/12 na yeye KE,jina V-17/12,married...
 
Mimi ME 02/9 (J)
Mwenzangu KE 15/12 (J)

Mahusiano
 
Me:H tareh 29 June 91
Ke:L tareh 22 December 95
Uhusiano:Bado hatujaoana
Kati yenu kuna mvuto mkubwa sana wa kingono na pia mnaendana vizuri na kimtizamo mnaendana vema sana kwa maana yeye ni mchanga wa bahari na wewe ni maji ya bahari hivyo mna mtizamo mmoja katika mambo yenu mengi na mnaendana kwa asilimia nyingi;
Kama mtaweza tu kuwezana tabia zenu basi moja kwa moja mtakuwa na mahusiano yenye bahati na mafanikio makubwa kindoa mfano wake utasikia watu huyu kaoa leo nyota yake imeng'aa au mafanikio yake yamefunguka yupo vizuri kwa kila sekta hii ni kwa maana kuwa hata mkiingia kindoa mnapatikana katika mlango wa 12 yaani mzunguko mzima wa nyota 12 unakuwa pamoja na nyinyi bega kwa bega na kila mmoja wenu anakuwa kayapatia maisha na hakuja haja ya kuhofia riziki kwa maana kwenu mkiwa pamoja kila jambo huenda vizuri na kwa ufasaha zaidi.
Lakini kwenye mlango wa kazi pia unatakiwa sana ujitahidi kumuachia yeye pia afanye kazi na kama ni biashara mpe nafasi ya yeye kuisimamia utaona maajabu ya Mungu kwa maana wewe asili yako ni mazingira ya nyumbani na yeye ni mtafutaji mzuri na ana nyota ya mafanikio na ndio bahati yako imelalia kwake usije kumvuruga wala kumuharibia muelekeo kwani huyu unaweza kutembelea nyota yake pindi utakapofunga nae ndoa na ukitaka kuthibitisha hapa kwa watu kwamba haya mambo sio kubahatisha basi muoe siku ya jumatatu kama sio saa 1 asubuhi saa 8 mchana na kama sio hapo basi saa 3 usiku utajiuliza ulichelewea wapi kwa maana usiku wa kwanza tu mmeanza kuitumikia ibada ya ndoa matunda yake siku inayofuata hadi kuingia usiku utaona matokeo na hapa nazungumzia ndoa sizungumzii uhawara.
ni mtu sahihi kwako na ana maslahi mengi na hutaamini ukiwa nae.
na pia ni mtu ambaye anaweza kukukamilishia all the attention you need. Na vile wewe ni mtu wa aibu na mwenye hisia kali na kupenda kukosoa basi huyu kwako ni sahihi;-
Mtizamo unaonyesha wewe ni mtu wa aibu,hisia na mwenye kutaka affection wakati yeye ni mtu wa kuondoa aibu,kuponya maumivu ya hisia na kutawala ndio sifa zake basi popote utakapo hisi you are down she will lift you up haijarishi kipesa mawazo au hisia.
Tofauti zenu zinaweza kuwa kubwa sana ambazo zitaleta furaha za muda mrefu, yaani hapo ni mfano wewe ni hasi na yeye ni chanya. Perfect Match.

Rakims
 
Mimi me jina E tareh 19/06/1992
Yey ke Jina L tarehe 23/05 /

Nasubir mkuu
Kwa mtizamo mnaonekana nyote wawili ni wenye asili ya upepo wa pumzi hivyo katika vitu vyenu vingi nyie ni kama pacha wa kiroho lakini hiyo haimaanishi kuwa mmekamilika kwa sababu mnaendana kwa asilimia 83% ingawa mna thamani kubwa ya muendano mtizamo wenu unakuwa
Hakuna mfano wa mahusiano kama yanapokuwa yamejengwa na watu wawili wenye mtizamo huu wa upepo ulio wa kuendana vizuri kwenye haiba, wenye msisimko na furaha kama wa wewe na mwenzio mnaonekana ni watu ambao hamtawahi kuchoshana au kuchokana kirahisi kwa maana nyie ni kama mapacha na ni wenye nia moja kwa kila jambo ;- kasi yenu katika mahusiano inashika namba za juu mkiwa pamoja na mnakuwa ni sawa na mfano wa kuigwa kwa mahusiano ya wengine ndio hawa mkikutana utasikia ndoa zingine zinawapigia mfano kuwa unawaona fulani na fulani.
Nyote ndoto zenu kila mmoja kwa mwenzie ni kubwa na hakuna kati yenu anaweza kumkatia tamaa mwingine. Pia ni wenye mazungumzo ya kuvutia hata chat zenu mtu mwingine akitizama anaweza kutamani jinsi mnavyojibizana na jinsi mnavyoweza kuelewana katika maongezi
pia mahusiano yenu yanaonekana kuwa na marafiki wengi na pamoja mnaweza kuwa mnafanya makaribisho ya chakula au sherehe mkiwakaribisha watu wanakuwa wanawatamani sana. Sex ni mchezo mzuri na uliojaa matani mengi kwenu lakini ndio mahusiano yenu kuna kipindi yanaweza kuwa kama ya juu juu, yasio imara, na msiokuwa na utulivu hasa mkiondoka mazingira ya nyumbani /chumbani na mkikaa muda mrefu bila kukutana na kucheza cheza kimwili basi kila kitu kinakuwa machafuko mkikosa tendo kwa muda ikiwa mnajua au hamjui basi huzuka chokochoko za ugomvi wa maneno.

Rakims
 
Ke: 10/02 Jina Herufi S
Me: 16 /01 Jina herufi M

Muongozo mkuu
Nakumbuka nimekujibu mkuu? Lakini sio tatizo
Inaonyesha nyie wawili ni watu tofauti ambaye kila mmoja anajaribu kumfurahisha mwengine.
Yeye ana asili ya utawala na pia ni mtu mwenye nafasi nzuri katika kukuridhisha na mwenye utu wenye kukufurahisha;
Wewe unaonekana ni mwenye kujihisi kulindwa kwa vitendo yaani kulindiwa mahusiano kwa vitendo na si maneno ambapo sasa yeye anakuwa anauwezo mzuri wa kukulipa hitaji lako kihisia na kukukamilishia upendo na faraja unayohitaji, na ujira wake unakuwa ni pumzi ya mahaba na mawazo ya maisha na ushauri na support ambayo wewe hii inaonekana si tatizo kuweza kumpatia na huna ajizi kwake.
mtindo unaotumia kufuatia suala la anasa ni kitu ambacho kinampendeza yeye yani mtizamo wako juu ya anasa ni jambo ambalo anafurahia utaratibu unaotumia asili yako ya upole na imain ni kitu kinakuwa faraja sana kwake.
Yeye kuna muda anakuwa haelewi ni jinsi gani ya kukuelewesha hisia zake lakini kwako unakuwa teyari umeshaelewa anataka nini hata kama hajamaliza kuelezea jambo lake ndio kitu kingine kinacho imarisha upendo wake kwako.
Pia ni rahisi kwako kuweza kumuelewa shauku yake na uaminifu wake kwa maana imani ina play part kubwa sana kwako hivyo huyu mtu wa siasa na uongozi unaonekana kummudu vizuri lakini ni mtu msiri kuweka hilo wazi.
Ngono katika mahusiano yenu ipo sawa, na
tabia zenu tofauti au za kutofautiana mtizamo ndio hukamilishana kwa ustadi mwingine.
Huyu una mahusiano nae ya kistaarabu sana hakuna jipya wala baya hapo ni watu wa kawaida

Rakims
 
mkuu mimi ni Me jina langu linaanzia herufi I nimezaliwa 25/07 Mke jina linaanza na herufi A kaziliwa 05/06
Sawa mtizamo unaonyesha wewe ni moto wa mkaa na yeye ni upepo wa pumzi mnaendana sana japokuwa kwenye ndoa mnaingia katika mlango wa nane mlango wa kifo na ufufuo.
Mtizamo unaonyesha ni watu mnaweza kuingia haraka kwenye mapenzi au ndoa kwa sababu ni watu mnaweza kuwa na mtizamo mmoja na wenye kupenda mambo mengi yanayoendana.
Hivyo vitu vyenu vingi nyote wawili ni maisha ya kijamii,sherehe,theater(movies & tv-shows) marafiki wengi,uchangamfu.
Yeye anaonekana anaweza kufungua (joie de vivre) kama ni mtu wa kufuatilia sana series na movies utaelewa namaanisha nini yaani anaweza kukuretea furaha tele ya maisha mambo yenu ni watu wa kukimbizana na aina mbali mbali za burudani na furaha ya maisha nyote mnaonekana kila mmoja ni mwenye kumtafutia mwenzio kuona raha ya maisha kupitia yeye.
Unaonekana ni mtu mwenye kufurahia imagination zake zinazompeleka mbali kimawazo na vile vile uchangamfu wake chumbani na utani/uchokozi unafurahia sana kucheka na kufurahi mkiwa chumbani na ni mtu wa kupata hasira na kuishiwa hamu ya kufanya tendo pale anapojaribu kuweka userious kidogo chumbani.
Yeye anaweza kuwa kichocheo kikubwa cha wewe kuwa na wivu kwake kwa sababu ya njia nyepesi yeye aliyonayo katika kugawa/kusambaza upendo kwa watu tabia yake ya kucheka na kila tu hukufanya kuamsha hisia zako za wivu .
Unaonekana ni mwenye mihemko na mkali zaidi kuliko yeye.
Maisha yenu pamoja yanaonekana ni yenye kusisimua na kukasirisha at the same time,
Lakini mnaweza kukaa kwa furaha na amani ikiwa yeye tu atakuwa muaminifu na kuendelea kubaki hivyo vinginevyo Poof!
Mwisho wa hadithi.
Hiyo ni kutokana na wewe asili yako ni kuwa ni mtu mwenye moyo mkubwa na hisia kali na usiyeweza kuvumilia usaliti.
na mwenye kuweka kitu kwenye roho kwa muda mrefu sana.

Rakims
 
Back
Top Bottom