Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Kwanijuavyo mimi, asilimia kubwa waliopigana hiyo vita wanaishi maisha ya shida sana hasa wale washika bunduki.

Na sidhani kama kuna waziri yeyote ambaye alipigana hiyo vita
 


Korona inatafuna watu kama kawaida majuzi hapa tumemzika Dr.Paul Mareale katangulia , korona imemwondoa.
 
Kwanijuavyo mimi, asilimia kubwa waliopigana hiyo vita wanaishi maisha ya shida sana hasa wale washika bunduki.

Na sidhani kama kuna waziri yeyote ambaye alipigana hiyo vita

CCM wanapigana vita ya kuweka boxes zenye kura feki vituoni na kwa kutumia jeshi la Burundi kwa kusaidiana na JWTZ wameshinda hiyo vita
 
Ili kuwa Mzalendo wa nchi hii unahitaji kujitolea kwaajili ya nchi yako...hawa watu wanashinda humu kuwa shabikia wakoloni walitaka waende JKT kwanza wakafundishwe namna ya kujitolea na kuwa wazalendo wa nchi hii.
 
Sasa kwani Mbowe ni mpinzani?

Mnyika ni mpinzani?

Maalim Seif ni mpinzani?

Sisi CCM ndio tulioasisi hivyo vyama vya upinzani!
 
Mkuu mada yako ina walakin.
Vita ya Kagera ilipiganwa toka 1978 around October/ November.
Hiyo ni miaka 42 iliyopita.
Vita ilipiganwa na vijana wengi wakiwa wastani wa miaka 25, maofisa ndio walikuwa na umri mkubwa zaidi.

Hivyo basi mada inaulizia watu wenye zaidi ya miaka 67 (25+42).
Hata rais wetu mpendwa hakuwa na umri wa kupigana vita hiyo.
Siye wengine tulikoswa koswa kwenda mstari wa mbele baada ya mafunzo makali ya kijeshi JKT 1977.
Viongozi wa upinzani ambao wangekuwa na umri wa kwenda front ni kama kina Dovutwa, Mrema, Lipumba na wazee wazee wengine.

Sasa mkuu, kuulizia vijana wa leo nani alipigana Vita ya Kagera , kwanza sioni mantiki, pili hapo ni sawa kuulizia embe kwenye mnazi.
 
hauna akili,kwahiyo wewe siyo mzalendo kwakuwa haujapigana vita vya kagera? Magufuli siyo mzalendo kwasababu hajapigana kagera war? weweni bogus.
 
😂 Wewe ndio juha kabisa
 
Ili kuwa Mzalendo wa nchi hii unahitaji kujitolea kwaajili ya nchi yako...hawa watu wanashinda humu kuwa shabikia wakoloni walitaka waende JKT kwanza wakafundishwe namna ya kujitolea na kuwa wazalendo wa nchi hii.
Hao wazalendo wenu ndio mawakala wa mabeberu walio ngiaza nchi chaka kwa mikataba ya siri
Acacia
Barrick
Richmond
Dymbion power
EPA
Watu wakagawana vijisenti mpaka noma.
Mpaka mchanga ukasafirishwa nje. Na walio fanya hivi bado wapo wanadunda .
CCM nyamazeni mnatia kichefuche .
Eti leo lissu ndo wakala wa mabeberu ajabu hiiiiiii
 
Wapinzani ndio waliopigana na Idi amini kwa kuwa walikuwa hawakubaliani na mambo yake.
 
Haya mavita Kama haya na ukombozi ndio yaliyotutia umaskini
Na hakuna nchi inayokumbuka na kulipa fadhila hata kiduchu .watanzania wanafukuzwa na kuuwawa iwe South afrika,msumbiji nk
 
Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…