johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Lyatonga Mrema kazaliwa hivi karibuni?Unaona hoja za kichaa?
Ni kosa la mtu kuzaliwa hivi karibuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lyatonga Mrema kazaliwa hivi karibuni?Unaona hoja za kichaa?
Ni kosa la mtu kuzaliwa hivi karibuni?
Jiwe alipigana vita ipi?Lissu nae ni kamanda pia,hivi alipigana vita ya Uganda au ukamanda wake ni kusaliti nchi yake tu?
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
Kwanijuavyo mimi, asilimia kubwa waliopigana hiyo vita wanaishi maisha ya shida sana hasa wale washika bunduki.
Na sidhani kama kuna waziri yeyote ambaye alipigana hiyo vita
Jinga!Hahahaaaa.......!
Fura!Jinga!
Watakuita Mwongo sasahvIdd Amini aliondolewa na Israel zingine ni propaganda ova
Umeshafura meku.Lyatonga Mrema ni mpinzani?
Are you gay?
Sasa kwani Mbowe ni mpinzani?Sisi wapinzani ndio tunajua nani ni mpinzani mwenzetu na nani si mwenzetu
Wewe mwana CCM unajuaje how it feels kua mpinzania wakati si mpinzani na wapinzani wenyewe tupo?
Lyatonga si mpinzani
Lipumba sio mpinzani
Na wengine kibao......sisi wapinzani tunakuambia categorically "lyatonga si mpinzani mwenzetu ni mtu wenu"
Zero fvcks given!
Mkuu mada yako ina walakin.Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
hauna akili,kwahiyo wewe siyo mzalendo kwakuwa haujapigana vita vya kagera? Magufuli siyo mzalendo kwasababu hajapigana kagera war? weweni bogus.Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Na MimiLissu, Zitto, Mbowe
😂 Wewe ndio juha kabisaWengi hamjaelewa swali
Swali lilitaka utaje kama wapo
Lingetaka viongozi wa Ccm waliopigana kama wapo wangetajwa, sasa wewe unaacha kutaka waliopigana unataja ambao hawakupigana...ndio maana mnafeli shule
Kurahisishiwa swali, taja viongozi watatu wa upinzani/Ccm waliopigana vita?
Hao wazalendo wenu ndio mawakala wa mabeberu walio ngiaza nchi chaka kwa mikataba ya siriIli kuwa Mzalendo wa nchi hii unahitaji kujitolea kwaajili ya nchi yako...hawa watu wanashinda humu kuwa shabikia wakoloni walitaka waende JKT kwanza wakafundishwe namna ya kujitolea na kuwa wazalendo wa nchi hii.
Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.