Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

Kwanijuavyo mimi, asilimia kubwa waliopigana hiyo vita wanaishi maisha ya shida sana hasa wale washika bunduki.

Na sidhani kama kuna waziri yeyote ambaye alipigana hiyo vita
 
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.

Korona inatafuna watu kama kawaida majuzi hapa tumemzika Dr.Paul Mareale katangulia , korona imemwondoa.
 
Kwanijuavyo mimi, asilimia kubwa waliopigana hiyo vita wanaishi maisha ya shida sana hasa wale washika bunduki.

Na sidhani kama kuna waziri yeyote ambaye alipigana hiyo vita

CCM wanapigana vita ya kuweka boxes zenye kura feki vituoni na kwa kutumia jeshi la Burundi kwa kusaidiana na JWTZ wameshinda hiyo vita
 
Ili kuwa Mzalendo wa nchi hii unahitaji kujitolea kwaajili ya nchi yako...hawa watu wanashinda humu kuwa shabikia wakoloni walitaka waende JKT kwanza wakafundishwe namna ya kujitolea na kuwa wazalendo wa nchi hii.
 
Sisi wapinzani ndio tunajua nani ni mpinzani mwenzetu na nani si mwenzetu

Wewe mwana CCM unajuaje how it feels kua mpinzania wakati si mpinzani na wapinzani wenyewe tupo?

Lyatonga si mpinzani

Lipumba sio mpinzani

Na wengine kibao......sisi wapinzani tunakuambia categorically "lyatonga si mpinzani mwenzetu ni mtu wenu"

Zero fvcks given!
Sasa kwani Mbowe ni mpinzani?

Mnyika ni mpinzani?

Maalim Seif ni mpinzani?

Sisi CCM ndio tulioasisi hivyo vyama vya upinzani!
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Mkuu mada yako ina walakin.
Vita ya Kagera ilipiganwa toka 1978 around October/ November.
Hiyo ni miaka 42 iliyopita.
Vita ilipiganwa na vijana wengi wakiwa wastani wa miaka 25, maofisa ndio walikuwa na umri mkubwa zaidi.

Hivyo basi mada inaulizia watu wenye zaidi ya miaka 67 (25+42).
Hata rais wetu mpendwa hakuwa na umri wa kupigana vita hiyo.
Siye wengine tulikoswa koswa kwenda mstari wa mbele baada ya mafunzo makali ya kijeshi JKT 1977.
Viongozi wa upinzani ambao wangekuwa na umri wa kwenda front ni kama kina Dovutwa, Mrema, Lipumba na wazee wazee wengine.

Sasa mkuu, kuulizia vijana wa leo nani alipigana Vita ya Kagera , kwanza sioni mantiki, pili hapo ni sawa kuulizia embe kwenye mnazi.
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
hauna akili,kwahiyo wewe siyo mzalendo kwakuwa haujapigana vita vya kagera? Magufuli siyo mzalendo kwasababu hajapigana kagera war? weweni bogus.
 
Wengi hamjaelewa swali

Swali lilitaka utaje kama wapo

Lingetaka viongozi wa Ccm waliopigana kama wapo wangetajwa, sasa wewe unaacha kutaka waliopigana unataja ambao hawakupigana...ndio maana mnafeli shule

Kurahisishiwa swali, taja viongozi watatu wa upinzani/Ccm waliopigana vita?
😂 Wewe ndio juha kabisa
 
Ili kuwa Mzalendo wa nchi hii unahitaji kujitolea kwaajili ya nchi yako...hawa watu wanashinda humu kuwa shabikia wakoloni walitaka waende JKT kwanza wakafundishwe namna ya kujitolea na kuwa wazalendo wa nchi hii.
Hao wazalendo wenu ndio mawakala wa mabeberu walio ngiaza nchi chaka kwa mikataba ya siri
Acacia
Barrick
Richmond
Dymbion power
EPA
Watu wakagawana vijisenti mpaka noma.
Mpaka mchanga ukasafirishwa nje. Na walio fanya hivi bado wapo wanadunda .
CCM nyamazeni mnatia kichefuche .
Eti leo lissu ndo wakala wa mabeberu ajabu hiiiiiii
 
Wapinzani ndio waliopigana na Idi amini kwa kuwa walikuwa hawakubaliani na mambo yake.
 
Haya mavita Kama haya na ukombozi ndio yaliyotutia umaskini
Na hakuna nchi inayokumbuka na kulipa fadhila hata kiduchu .watanzania wanafukuzwa na kuuwawa iwe South afrika,msumbiji nk
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Kuna wengine walikuwa hawajazaliwa. Hawa nao tunawaweka kundi gani?
 
Back
Top Bottom