Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

Haha golikipa Petr Cech anaifahamu shughuli ya David Beckham
Alikuwa kipa wa Timu gani akakutana na Beckham? Kimsingi zamani ndio kulikuwa na soka na kulikuwa na wanaume wanaopiga mpira achana na hawa akina Havert and Co's
 
Wapo wengi sana
Ronaldo de Lima
Zinedine Zidane
David Bekham
Taribo West
Dennis Begkamp
Roberto Carlos
Ryan Giggs
Thiery henry
Paulo Maldini
Dida wa brazil
Peter schemechel (Enzi hizo tunamuita smaiko no.1)
Lilian Thuram
Alan Shearer(huyu sticker yake kwenye Big G tulikuwa tunaigombania)
Michael Owen
N.k
 
Kama hujamtaja Gaucho list yako ni batili.
 
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Barca ila kwa sasa siwezi kuikosa Yanga, Barca sijaitazama kwa miaka sasa.
 
Berbatov
Rooney
Van Persie
CR7 Ronaldo
Ferguson's
Messi
Drogba
Lampard
Balotelli
Wengi sana.
Lkn football ni kitu Mungu kaleta kizuri
 
1. Thierry Henry
2. Jose Antonio Reyes
3. Samuel Etoo Fils
4.Austin JJ Okocha
5. Nwanko Kanu
6. Patrick Mbona
7. Khalilou Fadiga
8. Henry Camara
9. Mustapha Hadji
10. Patrick kluvert
11. Ruud van Nistelrooy
12. Pavel Nedved
13. Kaka
14. Gaucho
15. Messi
16. Ronaldo De Lima
17. Cristiano Ronaldo
18. Michael Barak
19. Michael Essien
20. Emmanuel Gabriel Mwakyusa
 
didier drogba alinifanya niupende mpira na niipende chelsea nlkua na picha zake kama zote katika picha amabauo siisahau ni ile ya 2012 kipindi nipo la saba 🤣🤣 nmekuja kuitupa meaka jana aisee nlkua nayo miaka yote 🔵
 
Peter alisema hivi fainaly world cup “scaloni will be fated, Messi will be sainted” A boy from Rosario, acha kabisa alooh hatari sana huyu jamaa me sijaanzia kwa Messi ila nasema ivi huyu ndio GOAT wangu ….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…