ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ana u-genius gani sasa uyo?Mwana fa
kipaji kimemfanya awe hivyo.hao uliowataja u genius wao wameufanyia nini?We fala mhandisi gani Kwa hiyo utajiri ndo u genius
bora ebitoke3. Ni waziri ndumbaru
1. Fid QKwa mimi binafsi naona
1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik
2.Leonardo wa cheka tu
Taja wa kwako
Stereo&Nash McKwa mimi binafsi naona
1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik
2.Leonardo wa cheka tu
Taja wa kwako
Mbaraka MwinsheheKwa mimi binafsi naona
1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik
2.Leonardo wa cheka tu
Taja wa kwako
Huyo ni Jenny siyo Geniusweekichaa kweli Yani Mondi humjui au?
Genius niwewe mkuu furahiHuyo ni Jenny siyo Genius
1. Huwezi kuwa Comedian halafu usiwe Genius na hata Kisaikolojia Watu ambao Kiasili ni Wacheshi na wapenda Utani huwa na IQ Kubwa kwani hadi kumfanya Mtu au Watu wacheke kwa kile ulichokibuni Kichwani mwako ( tena kwa haraka haraka ) si Kazi ya Kitoto na rahisi hivyo basi Kwangu Mimi Mtu Genius ni Mchekeshaji Marehemu Mzee King Majuto na ndiyo hadi sasa wengi Wanajaribu tu ila sijaona bado hata wa Kumkaribia.Kwa mimi binafsi naona
1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik
2.Leonardo wa cheka tu
Taja wa kwako