Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

Umeuliza Wasanii Genius ama Wasanii wenye Elimu ya Chuo..!?
 
NICAS JOHN MCHUCHE a.k.a Nick Mbishi
Kasoma
Mbeya University of Science and Technology
Alikuwa akisomea Uhandisi wa Kompyuta
Intake ya 2007/2008
Lecturer wao ni Chintelele
Alikaa Block 6B,Ground floor
Chumba namba 10
Perfomance yake Darasani ni kawaida tu.

Je,Genius kisa kasoma Chuo cha Uhandisi ama ?
Ina maana tuliosoma Uhandisi wote ni Geniuses ama!?
 
Mkuu mimi nimekuelewa vema
Sioni haja yakubishana juu ya tafsiri ya neno genius ulivyoitumia kwenye uzi wako
Nataka list iendelee

Note.
Hawa ninaowataja siyo magenius ila ni wasanii ambao walikuwa wapo vizuri sana kweny kile walichokuwa wanakifanya
Yaani passion dedication na kuelewa shabiki wanataka nini.

1.Mbaraka Mwinshehe
2.Rehani Bichuka
 
Genius wa muziki ni Diamond

Wa taalumu zingine za darasani sijui
 
waTz hopeless sana... Kwahio mtu akisoma course/bachelor za science maana yake ni genius...?
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ’©πŸ’©πŸ’© Mapoyoyo sana nyie, ndio maana mpo nyuma ya dunia...
Lack of exposure
 
nikki mbishi ana dploma mkuu kachukulia MUST hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…