Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

Unajua maana ya genius kweli??? Kama hao uliowataja ni genius basi Tanzania inawajinga wengi Sana
 
waTz hopeless sana... Kwahio mtu akisoma course/bachelor za science maana yake ni genius...?
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ’©πŸ’©πŸ’© Mapoyoyo sana nyie, ndio maana mpo nyuma ya dunia...
Lack of exposure
Hata hivyo niki mbishi Hana bachelor, ni diploma ya chuo gan sijui huko mbeya
 
Mbona Mwijaku ana degree mbili?
 
Nikki Ana diploma mzee,sio degree na sio computer science,ni Computer Engineering..
Washabiki wa Nikki mbishi huwa ni mazezeta flan hivi
Hapo wanasema ana degree, wakati ana diploma tu tena ya chuo gan sijui mbeya huko.

Ndio wanamfanya anavimba kichwa ikiwa hamna kitu
 
Mkuu usichanganye mtu genius, mtu smart na mtu intelligent. Kwani tumepima IQ zao kujua kiwango chake hadi tuseme ni genius?

Hao jamaa kweli ni smart vichwani hasa ukiangalia mambo wanayoyaongelea unaongezea ni intelligent pia. Ila u genius haupimwi hivyo.

Kuna watu ni genius alafu wanaonekana ni bogaz kinoma au hata vichaa. Ila ukipima IQ yake itakushangaza.
 
Genius....? Genius sana! Naona uchambuzi wako umehusianisha kozi ya shahada kama kigezo cha kuwa genius, i doubt kama umeelewa vema maana ya neno genius na genius sana.
 
Zuchu
 
Kwa hivyo tu ndo ma genius,!!?....da
 
Tambua mtu akiwa msanii tayari anakuwa na talent......bongo wasanii karibu wote wana talent nzuri kinacho haribu ni bad reputation kama Aslay alivo trend.
 
Define u genious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…