Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Mtazamo mzuri, kuna haja yakumuelezea kuhusu Baba yake kweli?
Kumuacha for good inawezekana kabisa.
Tena nikiwaza 200k niliyompa nafurahi sana, haijapotea bure.
Baba yake alinisaidia sana kucatch up na kazi.
Good ushalipa fadhira, tuliza dushe.ila najua mtakunjana tu hakuna cha baba yake wala nini.
 
Hahaha well said! Shukrani kwa kuiweka vizuri Mtumishi.
 
Kula mtoto huyo. Ila baadae mgusie tu, kumbe unafanya kazi na mshua wake. Maana binti umempush kibiashara ataendelee kushukuru Tu.
 
Acha ubwege wewe kagegede mbususu hiyo bwana. 200k unataka kuiachia hivi hivi mzee
 
Umetuangusha wanaume woote tuliooa ndo unatufanya tudharauliwe wanaume wa dar mwanamke kaja mpk chumbn kwako unamwacha duu alaf asbh hujamla unapat wap ujasiri wa kump 200k, wenzetu ujasiri huu mnaupat wap
 
Sijakosea.
Nimempongeza kwa uwezo wake wa kuweza kuishi bila kuchepuka(kitu kizuri)
Nimejilaumu kwa kushindwa kuwa hivyo.
 
Huyo Binti wa mixer ya kimasai na.......mbona hana shida unamla kisha baada ya hapo mtaongea kiutu uzima kbsa. Mabinti wa akina Saitoti hawanaga shida kbsa akipenda anakusikiliza kwa kila jambo.
 
Kwa hiyo Boss wako alikua hajui kakupangia kazi maeneo ambayo binti yake yupo.

Na wewe katika stori zenu za kazi, biashara na huyo binti hakujua unafanya kazi na baba yake.

Halafu ukatuma 200K
Baba yake alijua kabisa ninakokwenda hajawahi kuniambia kitu chochote kuhusu familia yake.

Kwa upande wa stori na binti, ningemtajia ninapofanya kazi angenieleza chap. But kati ya vitu ninavyoficha nikiwa na mchepuko wowote ni sehemu sahihi ninakofanya kazi na kazi ninayofanya.
 
Huyo Binti wa mixer ya kimasai na.......mbona hana shida unamla kisha baada ya hapo mtaongea kiutu uzima kbsa. Mabinti wa akina Saitoti hawanaga shida kbsa akipenda anakusikiliza kwa kila jambo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yeye ni mixer mzaramo na mchaga.
 
kumkunja kwa sasa inahitaji ujasiri kidogo.
Mkuu roho yako ili itulie unatakiwa umpige mzigo otherwise utajilaumu Sana piga mara moja tuu
Nafsi itatulia halafu kata mawasiliano taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…