Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ndio umetoa maana halisi ya kumfanyia mtu "Umafia". Mafia wakitaka kukuua hawatakuonyesha dalili hata siku moja. Watajifanya wajinga ili uwadharau na kudhani kuwa hawawezi kukudhuru. Tena kama ni mtu wa karibu watajifanya marafiki zako kweli kweli.
Siku ambayo huitegemei kabisa ndio utashangaa anakuja mmoja anakualika mwende mkale chakula cha jioni ukipanda kwenye gari utakuta kuna mtu kakaa siti ya nyuma, utatambulishwa kuwa huyo ni cousin wa huyo aliyekualika dinner. Mkifika sehemu ambayo imekaa vizuri na wewe ume-relax ndio utashitukia kamba ipo shingoni, jamaa aliyekaa siti ya nyuma anakunyonga mpaka unakufa.
Wakishakuuwa wana jinsi yao ya kupoteza mwili wako usipatikane tena; Wanaweza kuweka mwili wako kwenye pipa wakalijaza zege kisha wakaenda kulitupa baharini, wanaweza kuweka mwili wako kwenye gari bovu kisha wakalipeleka kwenye compacter, mashine ambayo italisaga na kuliminya hilo gari mpaka liwe dogo kama box, wanaweza kukukatakata kisha wakatumbukiza vipande vya mwili wako kwenye acid na nyingine nyingi ambazo huzitumia kuhakikisha mwili wako haupatikani tena. Huo ndio "Umafia".
In brief Mafia ni makundi ya organized crime ambayo Serikali haina nia ya kuyateketeza,badala yake ina co-exist nao.
Wakuu habari zenu ....kichwa cha habari kinajieleza ningependa kufahamishwa kwa nini mtu akitaka kufanya jambo baya utasikia akisema NITAKUFANYIA UMAFI AU utasikia akisema MIMI NI MAFIA NITAKUUA
Je kuna uhusiano wowote na kisiwa cha mafia?
Mwenye kujua kiini cha neno hili ningefurahi kufahamishwa kwani nina trip ya kwenda mafia so nikikumbuka maneno hayo juu naishiwa hamu kabisa ya safari.
Kama kuna uhusiano na watu wa mafia chanzo kilikuwa nini?
Msaada tafadhali
Mkuu wewe ndio umetoa maana halisi ya kumfanyia mtu "Umafia". Mafia wakitaka kukuua hawatakuonyesha dalili hata siku moja. Watajifanya wajinga ili uwadharau na kudhani kuwa hawawezi kukudhuru. Tena kama ni mtu wa karibu watajifanya marafiki zako kweli kweli.
Siku ambayo huitegemei kabisa ndio utashangaa anakuja mmoja anakualika mwende mkale chakula cha jioni ukipanda kwenye gari utakuta kuna mtu kakaa siti ya nyuma, utatambulishwa kuwa huyo ni cousin wa huyo aliyekualika dinner. Mkifika sehemu ambayo imekaa vizuri na wewe ume-relax ndio utashitukia kamba ipo shingoni, jamaa aliyekaa siti ya nyuma anakunyonga mpaka unakufa.
Wakishakuuwa wana jinsi yao ya kupoteza mwili wako usipatikane tena; Wanaweza kuweka mwili wako kwenye pipa wakalijaza zege kisha wakaenda kulitupa baharini, wanaweza kuweka mwili wako kwenye gari bovu kisha wakalipeleka kwenye compacter, mashine ambayo italisaga na kuliminya hilo gari mpaka liwe dogo kama box, wanaweza kukukatakata kisha wakatumbukiza vipande vya mwili wako kwenye acid na nyingine nyingi ambazo huzitumia kuhakikisha mwili wako haupatikani tena. Huo ndio "Umafia".
Mafia ni kundi linalofanya organized crime,chimbuko ni visiwa vya sicily italy,wao wanasema ' costra nostra'' yaani mafia ni kitu walichobuni wao,ingawa kuna American mafia,Japanese mafia etc!Member wa kundi hili anaitwa mafioso,mkuu wao ni godfather su capo fi tutti capi!Mie huwa siwaogopi mafia,huwa wakizingua nawapa vitasa tu
Mkuu inaonekana hukai mbali na movie za Action

A mafia is a type of organized crime syndicate whose primary activities are protection racketeering, the arbitration of disputes between criminals, and the organizing and oversight of illegal agreements and transactions. Secondary activities may be practiced such as drug-trafficking, loan sharking and fraud.