Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
friends of friends
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hakuna hata aliyempa jibu...labda jamaa mmoja hapo juu kidogo
Ni hivi Mafia ni kundi lililokuwa na nadhani bado lipo huko Italy lilikuwa maarufu Sana enzi hizo..lilikuwa linaendesha shughuli zake za uhalifu na kuuza madawa huko Italy. Linafanana kiasi na Yakuza LA Japan...but Mafia lilikuja kuenea mpaka USA kwa uhalifu coz waitaliano wengi walihamiaga huko ambao walkuwa kwenye hili Kundi na walifanya Sana uhalifu.
Na Kama mpenzi was Mpira utakumbuka kuwa Mario Balotelli alihojiwa na polisi huko Italy kwa kuhisiwa kuwa Ana uhusiano na hili kundi but alikanusha coz hawa jamaa wanawafuasi polisi,walimu,wafayakazi was sekta mbalimbali hata wabunge huko ....ingawa serikali ya Italy imejitahidi kuwaneutralize
Mafia ni kundi/vikundi hatari vya kigaidi huko bara la Asia esp.Japan
#Mafianinja
Mkuu Sikonge naona unaleta stori za vijiweni. Hujui hata juristiction ya CIA. Toka lini CIA wakashughulika na uhalifu kama huo ndani ya USA, FBI walikuwa wapi? Halafu kali zaidi baada ya kuwakamata hao "Mafia" tena mbele ya macho yako, wakawasamehe "on the spot". Sijawahi kusikia vyombo vya usalama vya nchi yoyote vikifanya kazi namna hiyo, unaleta stori za kwenye movies. Sitaki kupoteza muda zaidi, nimegundua kuwa uelewa wako kuhusu neno "Mafia" ni tofauti na ninavyoelewa mimi. Kila mtu abaki na uelewa wake.
Sikonge, acha kuwa defensive, nimeku-expose kuwa hujui kitu. Unachoongea ni stori za vijiweni tu. Umesema ulishuhudia, mara jamaa yako alikwambia. Oh mara ilikuwa sio US ilikuwa Ulaya, huko ulaya hawana vyombo vyao vya usalama mpaka CIA wakawafanyie hiyo kazi? Yaani huelewi hata kazi ya CIA ni nini. Secret Service? Kama hujui kitu usiwe unadandia mambo, matokeo yake ukibanwa unaanza kubwabwaja.