Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Mafia ni UJAMBAZI uliostaarabika na kwenda shule. Ni kama DINI ambayo huwa kuna miiko yake migumu sana kuifuata.
Ili uingie humo, basi labda uwe umezaliwa au wakuchunguze kwa miaka mingi sana.
Mwanao akifanya makosa na kuongea na POLISI au Wazazi wako, wewe mwenyewe unapewa kazi ya kusafisha uchafu.
Wengi walishauwa Watoto wao baada ya kuwa wamesaliti familia.
Mafia kama Mafia, ilianza kutokana na umasikini uliokithiri huko kusini mwa Italia na France.
Ndiyo maana kuna makundi mawili ya kutisha ya Mafia huko: Sicilian mafia (Camorra ya Napoli, Italy) na Corsican Mafia ya Ufaransa ambacho ni kisiwa kilicho karibu na Italy.
Hawa jamaa hutumia mabavu kufanya biashara zao zote na hufanya kama Serikali yao ndogo kwa kuchukua kodi kwa kila mfanya biashara anayefanya biashara kwenye maeneo yao.
Walijiingiza pia kwenye biashara ya ukahaba, madawa ya kulevya, silaha nk.
Ila siku hizi wamebadili style kwa kujiingiza kwenye biashara ya vitu FEKI kama madawa. Hufanya wizi wa bidhaa mbalimbali kama makontena bandarini, fedha nk. Pia ndiyo watu wanaomiliki vitu kama Casino nk.
Kutokana na kubwanwa sana na serikali duniani, wamebadili sana style zao za ujambazi.
Ila kwa ufupi ni watu Makatili walio tayari kuuwa mtoto wake mwenyewe
Wote Slogan yao huwa moja: COSTRA NOSTRA yaani "Mambo yetu" na kwa Kiingereza "Our thing".