Nitakulipa vizuri ukinipa hotuba ya Nyerere kama India Republic Day Guest of Honour, 26 January 1971

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.

Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India

Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.

1665923680953.png
 
Natafuta sana hii hotuna ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.

Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India

Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
Hotuna ndo Nini
Kweli utatoa hela?
 
Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.

Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India

Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.

View attachment 2389074
Nadhani ninayo lakini kwa format ya pdf
 
Sh. ngapi? Nipo hapa Mwitongo juu!! palee alipo jenga Samora!! niko na Madaraka, asa unasemaje ngapi hapo siyo unasema tuu utatoa! tathminia/sema ngapi!!
 
Kweli imeniuma kupoteza hii hotuba ya Mwalimu. Nilikuwa na hotuba ya mwalimu Nyerere mwaka 1971 ila sasa hapo kwenye nchi sio India ni Korea. Nilimpatia mtu anadai kapotyeza ngoja niangalie uwezekano kama nitaipata ile hotuba kwa kweli. .
 
Sh. ngapi? Nipo hapa Mwitongo juu!! palee alipo jenga Samora!! niko na Madaraka, asa unasemaje ngapi hapo siyo unasema tuu utatoa! tathminia/sema ngapi!!
Lete kwanza Mkuu, kweli sidanganyi nitakukatia kitu kidogo
 
Back
Top Bottom