Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Hotuna ndo NiniNatafuta sana hii hotuna ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.
Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India
Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
Hotuba Mkuu. Typo. Kweli nitatoa hela.Hotuna ndo Nini
Kweli utatoa hela?
Mnatafuta sana makosa madogo madogo kwa wenzenu. Na wewe tuambie "ndo" maana yake nini?Hotuna ndo Nini
Kweli utatoa hela?
Umeniua kwa raha 😅😅😅Mnatafuta sana makosa madogo madogo kwa wenzenu. Na wewe tuambie "ndo" maana yake nini?
Jifunze kiswahili "ndo" ni kitu gani? Ujuaji mwingi kumbe hakuna kitu.Hotuna ndo Nini
Kweli utatoa hela?
Jaribu Mwalimu Nyerere Foundation.Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
Hao ndiyo usijisumbue tu hovyo kabisa hao akina butikuJaribu Mwalimu Nyerere Foundation.
Nadhani ninayo lakini kwa format ya pdfNatafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.
Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India
Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
View attachment 2389074
Tuwekee hapa mkuuNadhani ninayo lakini kwa format ya pdf
Ntaitafuta kesho iko kwenye email yangu mpaka nipitie then ntawekaTuwekee hapa mkuu
PDF sawa tu Mkuu. Ibandike hapa kama attachmentNadhani ninayo lakini kwa format ya pdf
Lete kwanza Mkuu, kweli sidanganyi nitakukatia kitu kidogoSh. ngapi? Nipo hapa Mwitongo juu!! palee alipo jenga Samora!! niko na Madaraka, asa unasemaje ngapi hapo siyo unasema tuu utatoa! tathminia/sema ngapi!!
🤣🤣Sh. ngapi? Nipo hapa Mwitongo juu!! palee alipo jenga Samora!! niko na Madaraka, asa unasemaje ngapi hapo siyo unasema tuu utatoa! tathminia/sema ngapi!!