Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.
Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India
Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
View attachment 2389074
Hao hawakupenda tu kukusaidia.Nimeuliza ubalozi wa India wanasema ni zamani sana hawana rekodi.
Inawezekana umemwelekeza mahala sahihi mleta mada ni wapi anapopaswa kwenda kuipata hiyo hotuba.Mcheki Madaraka Nyerere,yule Bwana ana damu ya kupenda kusoma na kuandika Kama Baba yake,na pale Butiama Kuna siku TBC alikuwa anaelezea vitabu na machapisho ya Nyerere kwenye Library ya Mwalimu.
Kama ilivyo mie badala ya mimi, sie badala sisi, nyie badala ya nyinyi au kwa Malkia kule it's instead of it is, can't instead of can not etc na n.k.Mnatafuta sana makosa madogo madogo kwa wenzenu. Na wewe tuambie "ndo" maana yake nini?
Kajifunze tena kiswahiliKama ilivyo mie badala ya mimi, sie badala sisi, nyie badala ya nyinyi au kwa Malkia kule it's instead of it is, can't instead of can not etc na n.k.
Shubutuuu!! umdanganye naniiiiii!!Lete kwanza Mkuu, kweli sidanganyi nitakukatia kitu kidogo
Kwa nini nikudanganye? Mio sio mswahili wala fisadiShubutuuu!! umdanganye naniiiiii!!
Hata mimi nilifikiria kwamba kwenye Foundation ndipo pa kuanzia. Usiwahukumu kwa kufikiria tu. Jaribu kwanza. Wakisema hawana ndipo upumue na kusema nilidhania hivyo.Hao ndiyo usijisumbue tu hovyo kabisa hao akina butiku
Nakubaliana kabisa na unayosema.Hao hawakupenda tu kukusaidia.
Hata kwenye kumbukumbu za nchi yao hawawezi wakaipata?
Hata magazeti tu yatakuwa yalichapisha hotuba hiyo, watakuwaje wasiwe na rekodi?