Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.Kwa maudhi ya serikali hii na member wengine humu JF kula ban itakuwa kitu cha kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.Kwa maudhi ya serikali hii na member wengine humu JF kula ban itakuwa kitu cha kawaida
Kumbe upo!!!!Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.
Mkuu,sina ID nyingine ninayoitumia tofauti na hii.Lakini kwa id nyingine labda
Duu ulifanya nini tena aseeMkuu,sina ID nyingine ninayoitumia tofauti na hii.
Nilipopigwa ban nilitii,sikuthubutu hata kufungua 'mchepuko' wa ID.
Nashukuru
Asante dearest.Pole yake
Nami nilipelekwa central ya JF bila kuhojiwa mkuu,bora wale wenzangu walihojiwa.Du wacha atumikie nae kifungo maana wenzake wanaitwa central
Niseme nini tena? Umemaliza yote.Jf nayo kuna watu wana chuki kama nanihii
Awwwwwwwwwww nilikuwa wapi jamani sijaona hii muda wote? Asante mkuu [emoji120]At last kaachiwa sasa
Mkuu naomba uache kuupotosha umma,sijawahi kukutumia picha zangu P.MNifah sitakusahau siku umenitumia picha zako PM kweli watu nimeamini ni wanafiki na wajinga hawapendi maendeleo ya mwenzao
Yesssssss bae Nifah is back [emoji4]Nifah iz back
Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.Tupiamo na huku PM kwangu alafu agiza mbili baridi nalipa kwa mobile money
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]YULE MTOTO NAMPENDA SANA ILA NINAPOSIKIA THE BOLD CJUI THE ITALICS ANAKAMATIA HUWA NACHOKA KABISA.
Ah mambo mambo tu rafiki yangu. [emoji6]Duu ulifanya nini tena asee
Karibu kwa kitaa hii tenaYesssssss bae Nifah is back [emoji4]
Thank you [emoji120]
Namshukuru Mungu nilipata akili ya kufuta App ya JF mara tu baada ya kupigwa ban sijui ingekuwaje endapo ningeona post ya huyo jamaa.Karibu kwa kitaa hii tena
Japo taarifa zilizozagaa mitandaoni ni kuwa ulimpa huyo jamaa picha zako n box
Niliwasihi azipuuzi, kwani hata ingekua ni kweli ulimpa kwa nia njema, hakupaswa kutoa ya PM kipindi ambacho ulikuwa na wakati mgumu.
Duuh. Kumbe nilikuwa nauziwa Mbuzi ndani ya guniaAsikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!
Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana [emoji23]
Hahahahaha. Bond ya 10M.Yeah, nimetolewa kwa dhamana niliyowekewa na mmary mkuu [emoji4]