Nitakumis sana Niffah

Nitakumis sana Niffah

Kwa maudhi ya serikali hii na member wengine humu JF kula ban itakuwa kitu cha kawaida
Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.
 
Tupiamo na huku PM kwangu alafu agiza mbili baridi nalipa kwa mobile money
Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!

Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana [emoji23]
 
Yesssssss bae Nifah is back [emoji4]
Thank you [emoji120]
Karibu kwa kitaa hii tena
Japo taarifa zilizozagaa mitandaoni ni kuwa ulimpa huyo jamaa picha zako n box
Niliwasihi azipuuzi, kwani hata ingekua ni kweli ulimpa kwa nia njema, hakupaswa kutoa ya PM kipindi ambacho ulikuwa na wakati mgumu.
 
Namshukuru Mungu nilipata akili ya kufuta App ya JF mara tu baada ya kupigwa ban sijui ingekuwaje endapo ningeona post ya huyo jamaa.

Nakuhakikishia sijawahi kumtumia picha zangu.
Hivi mkuu suala la privacy unalifanyia mchezo nini?
Kwa posts zangu humu naweza kujiachia namna hiyo?
Amenikera sana,sana.

Anyways...asante mkuu,nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom