Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Arsenal atatwaa ndoo ya EPL mbele ya City

Symbiotic

Member
Joined
Oct 25, 2022
Posts
24
Reaction score
37
Kizingiti kingine kwa Arsenal ni leo dhidi ya Liver. Mechi hii kwa namna yoyote itamlazimu Arsenal kushinda nje na hapo nafasi kwake itazidi kuwa finyu. Ktk makaratasi game zilizobaki City anao uwezo wa kushinda zote kila timu uwezo wa kuipiga anao. Ili liko tofauti kwa Arsenal. Ambaye bado ana mechi na city.

Hiaz ndo game za kila mmoja zilobaki

Arsenal:

Liverpool (A)
West Ham (A)
Southampton (H)
Man City (A)
Chelsea (H)
Newastle (A)
Brighton (H)
Nottm Forest (A)
Wolves (H)

Man City:

Leicester (H)
Brighton (A)
Arsenal(H)
Fulham(A)
West Ham(H)
Leeds(H)
Everton(A)
Chelsea(H)
Brentford(A)

Ukiangalia iyo ratiba ya kila mmoja. Ziko mechi utagundua Arsenal ana game ngumu kuliko city na ukiangalia pengo la point c kubwa.
Mfn wa game ambazo huenda Arsenal anaweza asiondoke na point zote 3 na kuzid kusogelewa hadi kupitwa na city ni:

Liverpool tena (A)
Newcastle (A)
Brighton (A)
Na ile ya Chelsea japo hawa nao hawana msimu mzur ila big match ni big match tu.

Kwa City na hatua hii ligi iliyopo Pepe ni ngumu sana kudondosha point kirahisi na akijua hana cha kupoteza dhidi ya mshindan wake Arsenal ktk mbio za ubingwa.

All In All mpira unadunda lkn ktk makaratasi nampa nafasi kubwa City kutwaa ndoo.
 
Arsenal :

Msimu huu Arteta ana Jambo lake jamani. Kuna mechi kabla haijaanza unajisemea moyoni "Arsenal Leo kazi anayo" Hee! kabla ya Half time anamtungua mtu 3-0. Mi nilishampa kombe kitambo sana!
 
Liverpool tunamkalisha mapema sana.
city bado atadondosha points sio pungufu ya tano kwenye hizo gemu zilizosalia.
 
1682629979178.jpg
 
Back
Top Bottom