Symbiotic
Member
- Oct 25, 2022
- 24
- 37
Kizingiti kingine kwa Arsenal ni leo dhidi ya Liver. Mechi hii kwa namna yoyote itamlazimu Arsenal kushinda nje na hapo nafasi kwake itazidi kuwa finyu. Ktk makaratasi game zilizobaki City anao uwezo wa kushinda zote kila timu uwezo wa kuipiga anao. Ili liko tofauti kwa Arsenal. Ambaye bado ana mechi na city.
Hiaz ndo game za kila mmoja zilobaki
Arsenal:
Liverpool (A)
West Ham (A)
Southampton (H)
Man City (A)
Chelsea (H)
Newastle (A)
Brighton (H)
Nottm Forest (A)
Wolves (H)
Man City:
Leicester (H)
Brighton (A)
Arsenal(H)
Fulham(A)
West Ham(H)
Leeds(H)
Everton(A)
Chelsea(H)
Brentford(A)
Ukiangalia iyo ratiba ya kila mmoja. Ziko mechi utagundua Arsenal ana game ngumu kuliko city na ukiangalia pengo la point c kubwa.
Mfn wa game ambazo huenda Arsenal anaweza asiondoke na point zote 3 na kuzid kusogelewa hadi kupitwa na city ni:
Liverpool tena (A)
Newcastle (A)
Brighton (A)
Na ile ya Chelsea japo hawa nao hawana msimu mzur ila big match ni big match tu.
Kwa City na hatua hii ligi iliyopo Pepe ni ngumu sana kudondosha point kirahisi na akijua hana cha kupoteza dhidi ya mshindan wake Arsenal ktk mbio za ubingwa.
All In All mpira unadunda lkn ktk makaratasi nampa nafasi kubwa City kutwaa ndoo.