Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Ngome ya Kaskazinj Tushavunja hukooo LEMA CHALI na MBOWE CHALIKuna mtu atatoka kujitetea kutokana na kauli hii!
Sanduku la kura ndio majibu!Hizi nyingine zinaitwa porojo tu!Ngome ya Kaskazinj Tushavunja hukooo LEMA CHALI na MBOWE CHALI
Huyu ndiye rais tumtakaye"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa misingi yoyote ile kwa kuwa nitakuwa Rais wa watanzania wote, na huo ndio wajibu wa msingi wa Rais wa Tanzania kikatiba."
TUNDU LISSU
(23/10/2020)
Huyo mtu yupo, “msiponichagulia mbunge na diwani wa CCM, si letu maendeleo’.Hakuna mtu ambaye anaomba jambo lenye maslahi kwa mbwembwe ila hayo huja baada ya maombi kukubaliwa.
Hata JPM alisema hayo hayo ikiwemo kugawa 50M kila kijiji! Ziko wapi hadi leo ama kuna mtu ana ushahidi kuwa ziligawiwa?
leo nimemsikia Arusha akisema yeye maendeleo atapeleka sehemu zote bila kujali chamaKuna mtu atatoka kujitetea kutokana na kauli hii!
Ni yeye"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa misingi yoyote ile kwa kuwa nitakuwa Rais wa watanzania wote, na huo ndio wajibu wa msingi wa Rais wa Tanzania kikatiba."
TUNDU LISSU
(23/10/2020)
Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele."Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa misingi yoyote ile kwa kuwa nitakuwa Rais wa watanzania wote, na huo ndio wajibu wa msingi wa Rais wa Tanzania kikatiba."
TUNDU LISSU
(23/10/2020)
CCM ni kakikundi kadogo sana cha watu wenye akili fupi, kanacholindwa na dola na Tume ya uchaguzi kuendelea kubakia madarakani.Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
Naskia aliwahi kuugua kichaa.leo nimemsikia Arusha akisema yeye maendeleo atapeleka sehemu zote bila kujali chama
Tunapaswa kumpima na kumhukumu JPM kwa yale yaliyopita na haya yanayoendelea sasa kwenye kampeni zake. Miaka yake mitano yake ya awali aliwabagua watu kimaendeleo kwa misingi ya itikadi zao (na anakiri hilo hadharani), na sasa anaahidi kuendelea kuyafanya hayo hayo ikiwa atachaguliwa tena. Anajua hana tena kitu cha kupata katika hili maana alishakipoteza.Hakuna mtu ambaye anaomba jambo lenye maslahi kwa mbwembwe ila hayo huja baada ya maombi kukubaliwa.
Hata JPM alisema hayo hayo ikiwemo kugawa 50M kila kijiji! Ziko wapi hadi leo ama kuna mtu ana ushahidi kuwa ziligawiwa?
2020-2025 president"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa misingi yoyote ile kwa kuwa nitakuwa Rais wa watanzania wote, na huo ndio wajibu wa msingi wa Rais wa Tanzania kikatiba."
TUNDU LISSU
(23/10/2020)
Duh. Haya yanatoka wapi? Uko nje ya mada.Ngome ya Kaskazinj Tushavunja hukooo LEMA CHALI na MBOWE CHALI