Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

"Siku Moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri sio kwa mabaya, kwa maana na sacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania masikini". Mchina ni mkoloni ajaye hapa Africa, anatafuta kila jinsi aweke miguu yake kwa kisingizio cha kutusaidia kuwekeza. Hawana huruma kiasi hicho, kwa mwendo huu nchi hii itakuwa kama Enzi za mzee ruksa aka shamba la Bibi. RIP JPM.
 
Muda umefika wauweke wazi mkataba nasi tuusome..tuweze kutoa maamuzi..sio kuwasikia wao KILA siku
 
Bagamoyo lazima ijengwe.Hatuwezi kuwa wajinga tena.Mnaomshabikia mwendazake jamazeni.Someni ripoti ya CAG jinsi mabilioni yalivyopotea.Ndugai yupo sahihi kabisa.KUMBUKENI HII NI AWAMU YA SITA.
 
 
Kama masharti ni yaleyale we are finished!
 

Thadei Ole Mushi na Ndugai nyie ni wanasiasa ,Je Zitto Mchumi Mbobezi alishauri nini kwenye ujenzi wa bandari ya bwagamoyo?
 
Kuna mataifa yanaitamani hii nchi vibaya mno, wanatamani hata sote tupotee waje ku dominate. No wonder kila mara JPM alikuwa akisema "mnazani tunapendwa Sana" , kumbe kuna vitu aliviona tokea mbali. Kwa mamikataba ya hovyo, tutajikuta tu nauza nchi vipande vipande kwa unafiki wa Wanasiasa wetu. Shame on you Ndugai.
 
Watanzania kwa nguvu ile ile tuliyotumia kuvunja uzio wa uwanja wa ndege machoni pa vyombo vya ulinzi usalama siku ya kuaga mwili wa JPM tutumie nguvu hiyo hiyo na zaidi kumfirisi Spika Job Ndugai, tunafahamu vitega uchumi vyake kuanzia zile apartment zake nk tuzitie kiberiti, nyumba zake zote na mali tuzichome....tukikalia kucheka na kulalamika watazoea, si mnakumbuka yaliyotokea baada ya Nyerere kufariki jinsi mikataba ya kuchimba madini ilivyosainiwa kwa mwendo kasi....sasa historia inajirudia, upole wetu ni mauti yetu! Tutawaachia watoto wetu na wajukuu mzigo wa madeni!
 
Issue hii inabidi waijadili kwa upana zaidi
Kabla ya kuitekeleza!

Ova
 
Sasa ndugai ana usomi gani ?
 
Wachina walianza mchezo wao zamani. Hata SA wamevamia hatari na sekta yao huko ni Insurance. Sasa huo mchezo walijaribu Kabanga Nickel ambapo 50% ilikuwa Barrick na 50% Glencore. Terms zao za kijinga Barrick wakagoma kuuza shares zao. Maana nasikia wanaprocess cheap and impure nickel - na kuuza bei ya chini na kufanya soko la nickel kushuka.
 
Spika Ndugai anavyobadilika haraka kesho unaweza kuskia akitaka Tuvunje Ukuta wa Mererani
 
Naona wameamua kufanya upuuzi kwasababu sheria zipo kwa ajili ya wezi wa kuku tu.

Sasa Ndungai wakiingia kwenye mikataba ya kinyonyaji tutafukua hata kaburi lake na kupiga pingu
Spika Ndugai anavyobadilika haraka kesho unaweza kuskia akitaka Tuvunje Ukuta wa Mererani
 
Yaaan mtu alionyeshwa picha tu, sijui video ya project jamaa kashawishikaa kaona hapa ndioo penyewe. Akasahaau kuomba kuona hata mkataba wa mradi.
Yaan matumiz mabaya ya akili kbs duu.
 
Na mimi naafikiana na hili, kwanini wasiutoe public tuone?
 
Hayo ni maneno ya Magufuli kwa wasio na elimu. Tanzania ina rasilimali, lakini si nyingi hivyo, na wala siyo kwamba kila bepari anapatamani Tanzania. Biashara na utajiri si kwa malighafi hizi tu. Wale matajiri wanaoongoza wako kwenye biashara ya tehama, siyo dhahabu au almasi. Kuhusu Bandari ya Bagamoyo, kama wewe umeusoma mkataba tupatie na sisi hapa tuuchambue. Magufuli alishazoea kutupatia hadithi kama zile za kupima korona kwenye mbuzi, kwale na nanasi, je, nani alithibitisha upimaji huo? Lete mkataba hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…