Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

Uchambuzi wako uko kwa upande mmoja, umelenga kuukosoa uwekezaji China kwenye bandari ya Bagamoyo ambao kwa sasa unatetewa mnoo na Spika Nduga.

Vipi kuhusu uwekezaji wa China kwenye ujenzi wa SGR na Bwawa la umeme ambao ulitetewa na Magufuli?

NOTE
kuweka kumbukumbu sawa, miezi michache kabla ya kifo chake, Rais Magufuli aliutangazia ulimwengu kuwa amewasiliana na Rais wa China na kuiomba serikali ya china ije kuwekeza kwenye ujenzi wa SGR na bwawa la umeme unaoendelea sasa.
Ila na wewe sasa hutofautishi maana ya uwekezaji. Kwenye Bandari, china inawekeza. Kwenye SGR china ni contractor. KWenye Bwawa hakuna china. Mbona hata mambo ya nchi yenu hamuyajui? Baadaye uitwe interview, useme wanapendelea watu wao. Utakufa bila kazi ya maana.
 
Back
Top Bottom