Bagamoyo lazima ijengwe.Hatuwezi kuwa wajinga tena.Mnaomshabikia mwendazake jamazeni.Someni ripoti ya CAG jinsi mabilioni yalivyopotea.Ndugai yupo sahihi kabisa.KUMBUKENI HII NI AWAMU YA SITA.
Watu wana exaggerate. Tofauti na nchi nyingine, huu mradi hawatukopeshi bali wanajenga mradi wao nchini kwetu kwa kumsaidia a na Oman. Sasa cha kujiuliza ni jinsi gani tutafaidika.... Opportunity cost or what is the catch?Je, tunao ushahidi au ni propaganda kuwa Wachina wanakamata mali za nchi eti kwa kuwa nchi hiyo imeshindwa kulipa deni? Wanakamata bila makubaliano, bila matakwa ya mkataba? Leteni hiyo rasimu ya mkataba wa Bagamoyo nasi tuichambue. Kama kweli ni mbaya sisi si wajinga tutaona na tutakataa. Tusiukatae mradi kwa kuwa ni wa Bagamoyo, au ulioasisiwa na akina Kikwete, huku tukisingizia yasiyoonekana
Unataka uthibitisho kama upi kijana?Hayo tunayapata kwenye hii mitandao. Umethibitisha?
Hivi hawa, mbona wanajitoa ufahamu namna hii! Kama hatuwezi kujenga wenyewe basi ni heri tusijenge kabisa, ujinga uliofanywa Zambia kamwe tusiuruhusu kwetu, ninetumiwa hizi clip mpaka nimetokwa machozi kuzitazama👇Na Thadei Ole Mushi.
Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019 alisema hata wachina wanatushangaa na wakatufananisha na MTU aliyetanguliza mkokoteni mbele halafu punda nyuma. Kwa maana ya kwamba kujenga Reli ni kutanguliza Mkokoteni Mbele halafu Punda nyuma...
Tafadhali sana Mama Samia auone huu uziNa Thadei Ole Mushi.
Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019 alisema hata wachina wanatushangaa na wakatufananisha na MTU aliyetanguliza mkokoteni mbele halafu punda nyuma. Kwa maana ya kwamba kujenga Reli ni kutanguliza Mkokoteni Mbele halafu Punda nyuma....
Mkuu umesoma jina lake lakini?Haina shida boss! Tatizo siyo kuvaa vizuri. Tatizo ni nguo zitoke wapi? Siyo kwa kulawitiwa halafu useme nina suti kali!
Bandari ilikuwa inajengwa kwa ubia wa tati China,Oman na Tanzania wabia hawa wao wangefund pesa sisi tungetoa ardhi.baada ya mradi kukamilika kungeundwa chombo maarumu kwaajiri ya kukusanya mapato ambayo yangegawanywa kwa usawa kwa wabia wote.Na Thadei Ole Mushi.
Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019 alisema hata wachina wanatushangaa na wakatufananisha na MTU aliyetanguliza mkokoteni mbele halafu punda nyuma. Kwa maana ya kwamba kujenga Reli ni kutanguliza Mkokoteni Mbele halafu Punda nyuma...
Kuhusu mapato kugawanywa sawa nadhani Tanzania tutapigwa tuBandari ilikuwa inajengwa kwa ubia wa tati China,Oman na Tanzania wabia hawa wao wangefund pesa sisi tungetoa ardhi.baada ya mradi kukamilika kungeundwa chombo maarumu kwaajiri ya kukusanya mapato ambayo yangegawanywa kwa usawa kwa wabia wote.sema mwendazake kuna uwezekano alidanganywa.au majasusi wa nchi jirani walifanikiwa kuingilia kati this mission lakini kama taifa tunahitaji sana bandari ya bagamoyo before standard gauge.
Mwisho tutajikuta tuna miradi mingi nchi nzima na hakuna unaomilikiwa na Tanzania hata mmojaSawa !!Acha hawa wachina wawekeze kwenye sgr na kwenye bwawa la umeme rufiji kama alivyokwisha kuamua mwendazake magufuli maana miradi hii yote miwili hatunayo tanzania mpaka sasa...
Mkuu ulipotea sana, sijakuona kipindi kirefu kwenye platform hii. Hili la bandari limekuja kwa kasi hatari, yawezekana Msoga et al, at work. Hii remote control italitesa tena taifa, na tutarejea hukohuko kwenye miradi ya upigajiKama Wschina wana Uchungu sana na Tanzania basi wawekeze kwenye Bandari ya Lindi. Kujenga bandari Bagamoyo wakati Serikali inapanua bandari ya Dar es Salaam ni dhahiri kwamba kuna jambo limejificha nyuma yake
Lazima ufurahi kwa sababu unayempigia chapuo atakupa kitu kidogo. Ngugai anatia aibu. Nafikiri tumuite bendera fuata upepo. sasa hivi anajidai kutofautiana na marehemu, wakati wakati huo angeombwa chochote na marehemu angetoa. it pains to see opportunists like Ndugai.Bagamoyo yetu itakuwa sasa.
Nitafurahi Sana nikiona bandari ya Bagamoyo ikijengwa.
Lazima ufurahi kwa sababu unayempigia chapuo atakupa kitu kidogo. Ngugai anatia aibu. Nafikiri tumuite bendera fuata upepo. sasa hivi anajidai kutofautiana na marehemu, wakati wakati huo angeombwa chochote na marehemu angetoa. it pains to see opportunists like Ndugai.
Hapa umeongea la msingi sana maana sasa hivi imekua ngumu sana kuamini maneno ya wanasiasa baada ya report ya CAGMjadala huu ungenoga zaidi kama huo mkataba mzima ungewekwa katika tovuti ili kila anayependa ausome; kisha tufanye debate sisi wazalendo tunaopinga huu mradi na wale wanaounga mkono huu mradi.
Inasikitisha mradi mbovu kama huu ambao naamini pengine hata chifu Mangungu asingeukubali lakini leo hii unatetewa na watu ambao ni wasomi! Hivi nini kifanyike ili somo la uzakendo liwaingie watanzania wote?
Ukiniletea video evidence ya kuwa amekuwa na msimamo tofauti utanishawishi, kama umeona Jamii Forums ndio source ya story, it leaves a lot to be desired. [emoji120][emoji120][emoji120]Ndugai ni mnafiki na mtu wa hovyo sana. Hawa ndio waliohongwa China ili warudi kutetea huu utumboView attachment 1746972
Kuhusu mapato kugawanywa sawa nadhani Tanzania tutapigwa tu
Kwanza ardhi kuitoa ndo kosa la kwan
Mkataba huja baada ya makubaliano. Kilichopo sasa ni mapendekezo ya mwekezaji na majibu ya serikali. Ukitaka mkataba subiri pale watakapowekeana sahihi.Muda umefika wauweke wazi mkataba nasi tuusome..tuweze kutoa maamuzi..sio kuwasikia wao KILA siku