Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Jeshi wana unit yao kabisa nje ya hii yenye raia. Sitoitaja but hii tuilio izoea ina paramilitary officers ambao hawako tied to majeshi yetu ila wana operate kama independent unit, na hushirikiana na majeshi mengine likija suala la kushughulikia case zinazohitaji direct action, sabotage
Unaogopa kuitaja ya jeshi wakati inajulikana, military intelligence,jeshi ndiyo hutrain recruits wa tiss kwenye ukakamavu na mapambano
 
Huyu mama yuko very secure politically.
Probably atachaguliwa kugombea urais 2025.
Lakini JPM alishinda Uchaguzi vizuri lakini akatoweka baada ya Uchaguzi.
Na huyu itabidi tuone what will happen on the day after the inauguration.
Sasa hivi huyu mama ana very great opposition, albeit silent,kwa ajili ya pangua pangua isiyokuwa na mwisho .
Watu kama wanakutana privately kufanya serious discussions it is better kama wangekunywa soda.
Serious discussions zisifanyike na pombe kali.
Watu wengine wana suggest mama hatapata nomination ya 2025. Lakini mimi sijaona kitu chochote sasa hivi kinachotishia political support ya huyu mama .
 
Back
Top Bottom