Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

 
Mm nimegawa like kama njugu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee πŸ€”
 
Ukiona hivi ujue biashara imekuwa ngumu!
 


Sioni la ajabu katika hayo mnayoyaita mashape, kweli nitamheshimu sana mwanamke mwenye shape kwenye kicha chake - akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…