mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF. Na wote tuseme JF idumu milele. Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini...