Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Habari wakuu ..
Mimi naona kabisa swala la Manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema.
Manara ni mtu mkubwa, ni zaidi ya simba na yanga, ni zaidi ya TFF, Manara ana watu, sio wa kumzima kijinga kijinga na sheria kandamizi ambazo hazina usawa.
Ni kifungu gani Cha sheria kinasema mtu akirushiana maneno na Rais wa TFF ni lazima afungiwe miaka 2 na kulipa million 20? Kwanini isiwe mwaka mmoja, kwanini iwe million 20 sio 10 au 25? Ni kifungu gani kinaonesha hizo adhabu??? Kama sio mihemko ya watu wachache wenye hasira na wivu juu ya manara ni Nini?
Hiyo adhabu sioni ikitekelezwa ,manara ni unstoppable na sijaona Kama anaweza toweka kwenya anga za michezo kirahisi hivyo.
Nasema hivi Manara akifungiwa miaka miwili na kulipa million 20 mniite mbwa niko hapa.