Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Manara anaweza fungiwa miaka 2 kutojihusisha na mpira

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu ..

Mimi naona kabisa swala la Manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema.

Manara ni mtu mkubwa, ni zaidi ya simba na yanga, ni zaidi ya TFF, Manara ana watu, sio wa kumzima kijinga kijinga na sheria kandamizi ambazo hazina usawa.

Ni kifungu gani Cha sheria kinasema mtu akirushiana maneno na Rais wa TFF ni lazima afungiwe miaka 2 na kulipa million 20? Kwanini isiwe mwaka mmoja, kwanini iwe million 20 sio 10 au 25? Ni kifungu gani kinaonesha hizo adhabu??? Kama sio mihemko ya watu wachache wenye hasira na wivu juu ya manara ni Nini?

Hiyo adhabu sioni ikitekelezwa ,manara ni unstoppable na sijaona Kama anaweza toweka kwenya anga za michezo kirahisi hivyo.

Nasema hivi Manara akifungiwa miaka miwili na kulipa million 20 mniite mbwa niko hapa.
 
Habari wakuu ..

Mimi naona kabisa swala la manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema .!

Manara ni mtu mkubwa ,ni zaidi ya simba na yanga ,ni zaidi ya tff ,manara ana watu ,sio wa kumzima kijinga kijinga na sheria kandamizi ambazo hazina usawa ..!

Ni kifungu gani Cha sheria kinasema mtu akirushiana maneno na raisi wa tff ni lazima afungiwe miaka 2 na kulipa million 20 ? Kwanin isiwe mwaka mmoja ,kwanin iwe million 20 sio 10 au 25? Ni kifungu gani kinaonesha hizo adhabu ??? Kama sio mihemko ya watu wachache wenye hasira na wivu juu ya manara ni Nini ..?

Hiyo adhabu sioni ikitekelezwa ,manara ni unstoppable na sijaona Kama anaweza toweka kwenya anga za michezo kirahisi hivyo ..!

Nasema hivi manara akifungiwa miaka miwili na kulipa million 20 mniite mbwa Niko hapa

Uzi tayari
Mayowe ya nini si kuna room ya kukata Rufaa?
 
ukweli wa mambo watu walikua wanamlia timing tu kwa kauli zake chafu.watu washajipanga kuanzia A to Z yeye akakate rufaa ndo atajua kama ajui.
 
Natamani angetokea mdau kutoka kamati ya maadili ya huko TFF ili atuwekee hiyo kanuni inayotoa adhabu ya kufungiwa miaka 2 na faini ya milioni 20 kwa mdau fulani wa michezo, kutunishiana misuli na rais wa TFF.

Maana milioni 20 siyo hela ya kitoto! Ni mtaji kabisa huo! Halafu kirahisi tu niwape hao TFF kwa sababu nilimkoromea rais wake anayejiona ni mungu mtu! Halafu wataifanyia nini! Waitumbukize kwenye matumbo yao! Ningekuwa mimi nisingelipa.
 
Sawa ni maoni Yako. Ila ikitokea TFF wakanfaya Kama unavyo Dhani basi TFF. yenu inakuwa Aina tofauti na "KAHABA MWENYE PEPO"
 
Natamani angetokea mdau kutoka kamati ya maadili ya huko TFF ili atuwekee hiyo kanuni inayotoa adhabu ya kufungiwa miaka 2 na faini ya milioni 20 kwa mdau fulani wa michezo, kutunishiana misuli na rais wa TFF.

Maana milioni 20 siyo hela ya kitoto! Ni mtaji kabisa huo! Halafu kirahisi tu niwape hao TFF kwa sababu nilimkoromea rais wake anayejiona ni mungu mtu! Halafu wataifanyia nini! Waitumbukize kwenye matumbo yao! Ningekuwa mimi nisingelipa.
Kanuni inasema kwa kosa alilokiri sope mwenyewe kulitenda adhabu yake ni kufungiwa kifungo kisichopungua mwaka mmoja na faini isiyopungua milioni tatu.
 
ukweli wa mambo watu walikua wanamlia timing tu kwa kauli zake chafu.watu washajipanga kuanzia A to Z yeye akakate rufaa ndo atajua kama ajui.
Hiyo miehemko ya kijinga haiwezi kumtoa manara kwenye tasnia ya mpira
 
Natamani angetokea mdau kutoka kamati ya maadili ya huko TFF ili atuwekee hiyo kanuni inayotoa adhabu ya kufungiwa miaka 2 na faini ya milioni 20 kwa mdau fulani wa michezo, kutunishiana misuli na rais wa TFF.

Maana milioni 20 siyo hela ya kitoto! Ni mtaji kabisa huo! Halafu kirahisi tu niwape hao TFF kwa sababu nilimkoromea rais wake anayejiona ni mungu mtu! Halafu wataifanyia nini! Waitumbukize kwenye matumbo yao! Ningekuwa mimi nisingelipa.
Ni wivu ,hasira na chuki tu ...

Ukiwabana kuelezea hiyo sheria na adhabu kubwa namna hio hawana la kusema ..!
 
Nadhani hata Karia sio mtu wa mchezo mchezo na hii ni kutokana na maneno yaliyokuwa yakisemwa kupishana na kilichotokea kwenye uchaguzi wa TFF.
 
Natamani angetokea mdau kutoka kamati ya maadili ya huko TFF ili atuwekee hiyo kanuni inayotoa adhabu ya kufungiwa miaka 2 na faini ya milioni 20 kwa mdau fulani wa michezo, kutunishiana misuli na rais wa TFF.

Maana milioni 20 siyo hela ya kitoto! Ni mtaji kabisa huo! Halafu kirahisi tu niwape hao TFF kwa sababu nilimkoromea rais wake anayejiona ni mungu mtu! Halafu wataifanyia nini! Waitumbukize kwenye matumbo yao! Ningekuwa mimi nisingelipa.
Walikiongelea Efm
....ni faini isiyopungua milioni 3 na kufungiwa kujihusisha na mpira kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja.
 
Haya, wewe mbwa! Mimi nimekuita mapema kabisa.
 
ila watanzania tumejaa unafki sana walahi, Yani wale waliokuwa wanaombea kila siku Manara afungiwe wakati yupo Simba Kwa hoja kuwa anavuka mipaka ya utani ndio hao hao leo wako bize kumtetea

Ni mwaka Jana tu hapo Yanga waliitisha press wakielezea kumshtaki Haji Manara TFF Kwa kuwadharirisha wachezaji wao Kwa kuwaita wa kuokotwa okotwa na kumwita mwakalebela kilo 800

ila cha ajabu wale wale ambao walikuwa wanamshtaki jamaa Kwa kuvuka mipaka na kuropoka Sana wanashinda jf tangu Jana kumtetea jamaa, Ama kweli Maisha bila unafki hayaendi, Acha mie nikae zangu paleeee niendelee kuangalia hii movie ya unafki itaishaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Natamani angetokea mdau kutoka kamati ya maadili ya huko TFF ili atuwekee hiyo kanuni inayotoa adhabu ya kufungiwa miaka 2 na faini ya milioni 20 kwa mdau fulani wa michezo, kutunishiana misuli na rais wa TFF.

Maana milioni 20 siyo hela ya kitoto! Ni mtaji kabisa huo! Halafu kirahisi tu niwape hao TFF kwa sababu nilimkoromea rais wake anayejiona ni mungu mtu! Halafu wataifanyia nini! Waitumbukize kwenye matumbo yao! Ningekuwa mimi nisingelipa.

Adhabu inasema “sio chini ya mwaka mmoja”

Kiasi kisichopungua milioni 3

So kamati inacheza kwenda juu itakavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom