Nipo hapa Dodoma naangalia taarifa mbalimbali.
Kuna hii yasema serikali hivi majuzi imelipa dola milioni 22 kugomboa ndege zake mpya tatu ambazo zilikuwa zitekwe na kampuni moja hivi inayoidai serikali yetu.
SI wakumbuka delivery date?
Fedha hizo zimelipwa baada ya madai kupelekwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa.
Huu ni wakati wa serikali kuwaambia ukweli wananchi khasa kwenye suala la fedha na kwamba suala la ongezeko la mishahara ni ndoto kwa sasa.
Twahitaji real Road Map ya econovy recovery program ya miaka angalau mitatu ijayo.
Ni ukweli serikali iko hoi kifedha na ikiri tu wazi kuwa uchumi umedodora.
Ila namba 1,4 na 6 ndo yanoitikisa sana serikali wakati wa uhai wake JPM (bila yeye kufahamu) na wakati huu wa sasa.
Kwa heshima na taadhima ,naomba niishie hapo.