Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

Mkuu point zako ni kama zile za secondary enzi zile twasoma. Yaani unataja point hadi mwalimu anashangaa umeitoa wapi.

Taxation. Geographical location. Climate condition. Poor leadership. N.k [emoji1787][emoji1787]
 
Hii ilifaa kuwemo kwenye risala ya TUKUTA lakini kwa vile hawajui waseme nini na mahali gani wamebaki kuimba mapambio tu kama wanakwaya wa Makongoro.
 
Eti unasema na kumshauri kwa bidii kabisa nanukuu "....Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali 'Kivuli' cha Hayati Rais Dkt. Magufuli kisikutishe katika ama Kuamua au Kufanya yale unayoyaona ni bora ( sahihi ) kwa Watanzania na Tanzania kama nchi...."

Mdanganye aingie kwenye kona ambayo hatachomoka asilani.

Mbona wewe unatumia utambulisho ghushi kama hauogopi kivuli cha hayat JPM?

Mwacheni mh Rais afikirie, achambue na kuamua mwenyewe badala mbinu mnayotumia ya ushawishi usio rasmi (lobbying).

Eti hayati JPM aliandika kitabu lakini kaondoka nacho hivyo ni wakati wa Mh Rais SSh kuandika cha kwake ili akumbukwe!!!!

Nanukuu "...Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan tambua ya kwamba Hayati Rais Dkt. Magufuli aliandika Kitabu chake na ameondoka nacho tayari hivyo na Wewe huu sasa ni wakati wako Kukiandika chako ili Watanzania tukukumbuke ama pale Ukistaafu au hata nawe pia Ukitwaliwa ghafla ( japo siombei ) kama Mwenzako....."

Eti akakope mwongozo wa nini wananchi wanataka kutoka kwa J Kikwete!!!!

Lol....
 
Nipo hapa Dodoma naangalia taarifa mbalimbali.

Kuna hii yasema serikali hivi majuzi imelipa dola milioni 22 kugomboa ndege zake mpya tatu ambazo zilikuwa zitekwe na kampuni moja hivi inayoidai serikali yetu.

SI wakumbuka delivery date?

Fedha hizo zimelipwa baada ya madai kupelekwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa.

Huu ni wakati wa serikali kuwaambia ukweli wananchi khasa kwenye suala la fedha na kwamba suala la ongezeko la mishahara ni ndoto kwa sasa.

Twahitaji real Road Map ya econovy recovery program ya miaka angalau mitatu ijayo.

Ni ukweli serikali iko hoi kifedha na ikiri tu wazi kuwa uchumi umedodora.

Ila namba 1,4 na 6 ndo yanoitikisa sana serikali wakati wa uhai wake JPM (bila yeye kufahamu) na wakati huu wa sasa.

Kwa heshima na taadhima ,naomba niishie hapo.
 
MKUU haya ni maneno kuntu, miladi Tz imekua miradi ,kwa hoja zako saba hapo kuu zote naunga mkono
 
Tupe data za kila project imegharimu sh ngapi ie compare labda chato na dar au dom ndio tutakuelewa, labda unaona ni project zipi ambazo zingeachwa labda ingetisha kuongeza mishahara. tumechoka na ngonjera zizikuwa na ushahidi
 
You're one of an authentic Moron on JF.
 
GENTA ni wewe mwenyewe umeandika? Umeongea point tupu.
Kuandika Kwangu 'Madini' ni kawaida yangu tokea nijiunge hapa JamiiForums na zipo 'Threads' nyingi tu zitafute ujiridhishe nazo, ila yawezekana huwa hunisomi Kiutuo na wengi wenu mmekariri tu kuwa Mimi ni Mtukanaji Mwandamizi hapa Jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…