Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

tupe data za kila project imegharimu sh ngapi ie compare labda chato na dar au dom ndio tutakuelewa, labda unaona ni project zipi ambazo zingeachwa labda ingetisha kuongeza mishahara. tumechoka na ngonjera zizikuwa na ushahidi
Usinichoshe hauna 'Akili' ya Kunielewa.
 
Mama anashindwa kuelewa mistakes za Jiwe zilizokuwa zinafunikwa kipropaganda zitakuwa exposed kwake, yeye ndiyo atakayebeba zigo lote na kuonekana mistakes ni zake.

Ushauri kwa mama, vunja baraza la mawaziri, weka watu influential na wenye explosure internationally, mfano, watu kama kina Prof. Muhongo nk hawa wana network na connections kimataifa, mtu kama Kitila atakusaidia nini! Weka watu wa maana Mama yetu Mungu akubariki!
 
Tafadhali rekebisha hapo ulipoandika 'wenye explosure international' na uandike 'wenye exposure internationally' ambayo ndiyo sasa.

Fanya upesi kurekebisha kabla ya JamiiForums 'Wordsmiths' na Great Thinkers hawajaona na Kukukosoa huku Wakikucheka au hata Kukudhihaki.

Otherwise Mchango wako ni mzuri mno.
 
You're one of an authentic Moron on JF.
Yes, I am stupid as you prefer, does the provocation you make adds something to you being a brave and pundit to be trusted on whatever stinking trash staged on the fora? No, get your way to the abyss and do not venture with such threats anymore. Everybody has the freedom of expression as you did, so when you are challenged by others with alternate ideas gesture yourself to persevere the constructive incision.
 
Una 'Kiingereza' cha 'Gays' je, ni Mdau?
 
Uko sawa kabisa uchumi ulishaanguka hata kabla ya COVID-19 lakini mama yetu na Serikali yake wamepata kisingizio cha kutuzuga Watanzania. Tangu 2016 uchumi ulianza kuanguka na tangu 2016 kasi ya uchumi kuanguka ikaongezeka kwa speed kubwa.
 
Una 'Kiingereza' cha 'Gays' je, ni Mdau?
Hapa ndio hua huelewekagi



Dakika moja unaweza ongea pointi na nondo za kushiba kabisaaaa...


Masaaa machache yanayofuata ukaandika ama kuongea pumba mpaka kuku hawazili.


Hivi umezaliwa na kamusi ya matusi?
Yaani wewe huna kitu kinachoitw kamausi ya maneno kwako umejaza misamiati ya matusi?

Uko na kichwa chenye ubongo mzuri ambao ingewezekana ungekuwa hazina kwa taifa. Shida umetunza vitu vizuri mnoo lakini umejaa matusi






Utashangaa na hapa utanitukana tuu......m
 
Una ID ngapi hapa 'JamiiForums' labda?
 
Popoma upo?
 
. Tangu 2015 -2021 SERIKALI 6 - 0 WATUMISHI. Kazi iendelee....!
 
Ndugu mfanya kazi haupo kwenye hilo ongezeko la 1%, inawahusu waliopo 270k had 540k ambao walikua wanakatwa 9% sasa watakatwa 8% kwa maelezo ya rais, vinginevyo tusubir ufafaniz kutoka tra labda.
Watu mnalalamikia kulipa 8% tax wakati mimi nalipa 25% + makato mengine lukuki huku Ulimwenguni!!
 
Usinichoshe hauna 'Akili' ya Kunielewa.
wewe ndio huelewi unaandika andika tu wakati data huna, chato na hiyo miradi mingine imetumia sh ngapi. hujui government expenditure kama ni component ya GDP. government wakispend alot ndio watu wanapata ajira na uchumi unakuwa hence multipliers effect. yaani unataka kusema wewe una akili au unajua sana kuliko serikali ambayo ina washsuri waliobobea kwenye mambo ya uchumi.
 
Juha.
 
hizi ni taaluma za watu si kila mtu alieshiba ugali anaweza ongekea haya mambo. ndio maana rais anakuwa na washauri
 
Mbona alikuwa anakusabahi tu in a positive response of your thread! By the way, hata we we mwenyewe umekuwa ukiji- nickname kuwa popoma mkuu. Hivyo sikutarajia katika hilo Genta' utoe matusi.
Unajua maana ya neno hilo la Popoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…