Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

Ukimaliza tu Kuhangaika na Mimi utaniambia sawa?
it seems unajishughulisha na vitu ambavyo huna knowledge navyo. angalia components za GDP, alafu serikali ikisema tunataka uchumi ukue kwa asilimia flani basi lazima uongeze ukuaji wa hizo components, and one of the components is government expenditure. ili government i-spend more ni kuwa na miradi na si kukuletea hela uweke mfukoni. JPM had economics advisors usione alikuwa anaamka tu na ku-decide. hayo mambo ya vijiweni bakini navyo huko msivilete humu.
 
Kila mei mosi jamaa wanadai ongezeko la mishahara,

Vipi kuhusiana na wakulima??

Nani atawakumbuka hawa, wapate pembejeo kwa bei nafuu na masoko ya uhakika ya mazao yao??
 
siamini kabisa kuwa wewe unajua economics, umekurupuka toka mtaani na Kwa sababu unajua kusoma na kuandika na ukichanganya na zile hadithi za vijiweni basi ukakitutumua:

1. Kukurupuka kuanzisha Miradi
Kuanzisha miradi ndiyo kukuza ajira, bila ya miradi kuanzishwa hakuna ajira, iwe public or private sector
2. Kuwekeza zaidi Chato
onyesha numbers, na je you think chato affected other sectors? Au mikoa mwingine? Tanzania nzima yote ni masikini system ndiyo iliyotufikisha hapo
3. Kukomoa Matajiri wakubwa
unaweza ukawa na point, toa evidence, ungesema alishupalia foreign investors ningekuelewa. Lakini kama unaongelea akina Rostam, Manji, Mo, nk au umesahau EPA na JK? stop this rant
4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini
This is new narrative ambayo watawala baada ya kufa yule katili wanailet. JPM hakuiba ila alitumia pesa kwenye miradi bila ya kuongea na wenzake. Alitoa uamuzi mwenyewe moja Kwa moja
5. Kuharibu Mifumo ya Pesa
mifumo ya pesa ipi? Ndiyo hadithI za vijiweni hizo, wala huwezi kuelezea. mbona Tshs has been stable?
6. Usimamizi mbovu wa Mapato
haaaaaa, umeongea kinyume, JK was the most wasteful president of all. JPM alikuwa katili lakini kwenye fiscal discipline alikuwa mbabe

usimpoteze huyu mama, JPM tumsakame kwenye human rights full stop.

when you have SGR train people will use it money will be made

Power project - ukiwa na umeme mwingi investors watakuja,

viwanda nk

JPM investment kwenye infrastructure na viwanda kafanya vizuri.

unakopa pesa una invest kwenye infrastructure sawa

unakopa pesa ulipe mishahara? No
 
Miradi yote inayofanywa ni muhimu sana cha msingi ni uvumilivu na nidhamu ya matumizi kwa tunachopata kama kipato chako ni kidogo
 
Ideology yako zaidi ipo upande kwa kutembea na bakuli kimataifa kuliko kuongeza ufanisi wa tunachoweza kuzalisha
 
Umeongea points sana
 
hawa watu wakishiba ugali wanaanza kuhara. hawajui kuwa haya mambo ni ya kitaalam si kila mtu anajua
 

Bila kujifunga Mkande uchumi hautakuwa. Uneandika kimission town sana. Nakwambia kama Ndo hivyo Basi Hata mie ntaweza kuwa Rais na nikawapa raha miaka 10 na kuja kuwaangamiza kwa daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…