Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Yanga ameondoshwa kwenye michuano kama baadhi ya mashabiki wanavyofikiria

Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Yanga ameondoshwa kwenye michuano kama baadhi ya mashabiki wanavyofikiria

Wewe jipangie tu hao akina Fei toto, Aucho, Bangala Ila sisi huku Sudan watakutwa na Covid, hapo ndio utajua hujui.
 
Yanga walifunguka kidogo tu kwenda kushambulia wale wahuni wakachomoa,sasa huko Sudan wakifunguka kama unavyosema si watapigwa nyingi!
 
Back
Top Bottom