Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.