Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

Huna uwezo wa kujibu hoja za upinzani
Na hata ccm hawana tusubiri tu kuona mabavu yakitumika kuumiza watu kwa kuwa walichokiruhusu kiko nje ya uwezo wao
 
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.

Umechukua nafasi ya Shaka?.
 
JamiiForums-525517479.jpg
 
Tuambie shaka zulu ni mke wa nani mombasa
 
Huna uwezo wa kujibu hoja za upinzani
Na hata ccm hawana tusubiri tu kuona mabavu yakitumika kuumiza watu kwa kuwa walichokiruhusu kiko nje ya uwezo wao
Hamkawii kupiga kelele mnaonewa
 
Umechukua nafasi ya Shaka?.
CCM ni zaidi ya Shaka, maslahi yake yanalindwa na mzalendo yeyote. Shaka ana nafasi yake kama kiongozi nami nina yangu kama mwanachama lakini wote tuna jukumu la kuijenga CCM moja
 
Ujinga ,umasikini na maradhi vinaisumbua Marekani uwezo wake, liwe Jambo la kushangaza Tanzania? Ndio maana nimesema nitaijibu kila hoja yenye lengo la upotoshaji. Kikitokea Chama kikasema kitaondoa hayo mambo kabisa nitaujibu upotoshaji huo

Kwa hivyo marekani kuna ujinga kuliko Tanzania? Wewe kweli hustahili usemaji.
 
Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.

Ilinganishe Tanzania na Kenya au Uganda. Sio marekani.
 
Wananchi awailewi serikali yao kubaki kimya wakati wanashindia mlo mmoja kwa siku kutokana na kupanda kwa bei ya chakula.
 
CCM ni zaidi ya Shaka, maslahi yake yanalindwa na mzalendo yeyote. Shaka ana nafasi yake kama kiongozi nami nina yangu kama mwanachama lakini wote tuna jukumu la kuijenga CCM moja

Shaka ndio msemaji wa chama ungemuachia hiyo kazi. Maana yeye ana taarifa zitakazomuezesha kujibu hoja za upande mwingine.
 
Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.
Jibu hoja sio kkujilinganisha na USA.
We're sovereignty state.
 
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.

Hayo ndio mambo hata rais hataki,

Hakuna mtu anashambulia, au anawasema vibaya ccm na viongozi wake

Watu wanatoa changamoto ambazo viongozi hawazifanyii kazi, sasa nyie kama chawa ndio mnaona kama mtu anaisema vibaya ccm while sio kweli

Uzi wako ungekuwa na maana na ungepata hata teuzi kama ungesema watu walete hoja na malalamiko Yao kuhusu ccm na viongozi then ww uyapeleke Kwa wahusika na uje na majibu
 
Yaani Majaliwa akose majibu wewe uyapate?.
 
Hamkawii kupiga kelele mnaonewa
Tunaonewa kwa hoja au na polisi wa ccm?
Kwa hoja haitatokea

Kwa sababu upinzani wakiwa watatu tu wanatosha kwenda sawa na ccm nzima
 
Hoja zote za wapinzani zina majibu yake na ya ziada msiwe wagumu kuyapokea kwa kuchezea takwimu halisi maana kuna kipindi fulani upinzani ulikuwa unapika data na kuudanganya umma.

Mambo ya kupika data na kutengeneza takwimu nitayajibu ipasavyo.
 
Kama ni Majaliwa waziri mkuu tambueni kwamba ana kiapo Cha kutunza Siri hivyo hawezi kukaa na kuongea ongea huku atavunja kiapo chake.

Unayoyasikia kwa Mhe. Majaliwa amini nakwambia ndio hayo anayotakiwa kuyasema na ndio unayopaswa kuyajua
Yaani Majaliwa akose majibu wewe uyapate?.
 
Hayo ndio mambo hata rais hataki,

Hakuna mtu anashambulia, au anawasema vibaya ccm na viongozi wake

Watu wanatoa changamoto ambazo viongozi hawazifanyii kazi, sasa nyie kama chawa ndio mnaona kama mtu anaisema vibaya ccm while sio kweli

Uzi wako ungekuwa na maana na ungepata hata teuzi kama ungesema watu walete hoja na malalamiko Yao kuhusu ccm na viongozi then ww uyapeleke Kwa wahusika na uje na majibu
Sikatai kuna changamoto lakini lazima changamoto ziwe zinaakisi ukweli wa hali kwa kuzingatia data zilizopo.

Amini nakuambia ,kwa mfano takwimu halisi inasema ukosefu wa ajira upo kwa 50% lakini kwa lengo la upotoshaji wanaweza kusema ni 80 na lengo ni kupotosha. Hizi ni siasa za kilaghai
 
Back
Top Bottom