Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Kabla ya kufika huko,

Unawajua watu waliokuwa wameunganisha kiharamu mafuta kupitia Bomba la Umma bandarini,

Walikamatwa bt Hadi Leo Pana UKIMYAA...........!!!!!
 
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Hata Mimi Nitakuwa side Yako kukisapoti
 
,
 
Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    JamiiForums1389173211.jpeg
    24.6 KB · Views: 2
  • IMG-20191109-WA0000.jpg
    IMG-20191109-WA0000.jpg
    35.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1604027510826.jpg
    FB_IMG_1604027510826.jpg
    34.8 KB · Views: 1
Mtoa hoja ni mpumbavu, hajajibu hata hoja moja hapo juu, mtoa hoja kanusha hili au afikiana nalo, ccm ni kikwazo cha maendeleo ndani ya nchi yetu maana wale maadui 3 bado wanetamalaki nchini na sasa wamemchukua binamu yao anayeitwa Rushwa na kuamua kuishi naye
 
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Ujinga mzigo
 
Ujinga ,umasikini na maradhi vinaisumbua Marekani uwezo wake, liwe Jambo la kushangaza Tanzania? Ndio maana nimesema nitaijibu kila hoja yenye lengo la upotoshaji. Kikitokea Chama kikasema kitaondoa hayo mambo kabisa nitaujibu upotoshaji huo
 
Je ni wapinzani au wakosoajo wa serikali?

Loooooo kumbe hamnazo, Tanzania 🇹🇿 unailinganisha na USA 🇺🇸 kiuchumi!it's ok mkuu kumbe nawe ni delinquent member wa JF
 
Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.
 
Back
Top Bottom