Wanajadili cha kukujibu, maana hayko peke yakeJibu hii kwanza
Hawana uwezo wa kujibu hata waje woteWanajadili cha kukujibu, maana hayko peke yake
Kabla ya kufika huko,Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Nina ID moja tu ya Lucas Hebel MwashambwaLucas mwashambwa kaja na ID nyingine
Hata Mimi Nitakuwa side Yako kukisapotiSilipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Ujinga mzigoSilipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Unadhani yesu ni binamu yako unaweza ukamuita unavyotakaYesu njoo sasa dunia tiyale imeisha isha
Ujinga ,umasikini na maradhi vinaisumbua Marekani uwezo wake, liwe Jambo la kushangaza Tanzania? Ndio maana nimesema nitaijibu kila hoja yenye lengo la upotoshaji. Kikitokea Chama kikasema kitaondoa hayo mambo kabisa nitaujibu upotoshaji huoMtoa hoja ni mpumbavu, hajajibu hata hoja moja hapo juu, mtoa hoja kanusha hili au afikiana nalo, ccm ni kikwazo cha maendeleo ndani ya nchi yetu maana wale maadui 3 bado wanetamalaki nchini na sasa wamemchukua binamu yao anayeitwa Rushwa na kuamua kuishi naye
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Loooooo kumbe hamnazo, Tanzania ๐น๐ฟ unailinganisha na USA ๐บ๐ธ kiuchumi!it's ok mkuu kumbe nawe ni delinquent member wa JFUjinga ,umasikini na maradhi vinaisumbua Marekani uwezo wake, liwe Jambo la kushangaza Tanzania? Ndio maana nimesema nitaijibu kila hoja yenye lengo la upotoshaji. Kikitokea Chama kikasema kitaondoa hayo mambo kabisa nitaujibu upotoshaji huo
Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.Loooooo kumbe hamnazo, Tanzania ๐น๐ฟ unailinganisha na USA ๐บ๐ธ kiuchumi!it's ok mkuu kumbe nawe ni delinquent member wa JF