Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Tuambie shaka zulu ni mke wa nani mombasaSilipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Hamkawii kupiga kelele mnaonewaHuna uwezo wa kujibu hoja za upinzani
Na hata ccm hawana tusubiri tu kuona mabavu yakitumika kuumiza watu kwa kuwa walichokiruhusu kiko nje ya uwezo wao
CCM ni zaidi ya Shaka, maslahi yake yanalindwa na mzalendo yeyote. Shaka ana nafasi yake kama kiongozi nami nina yangu kama mwanachama lakini wote tuna jukumu la kuijenga CCM mojaUmechukua nafasi ya Shaka?.
Ujinga ,umasikini na maradhi vinaisumbua Marekani uwezo wake, liwe Jambo la kushangaza Tanzania? Ndio maana nimesema nitaijibu kila hoja yenye lengo la upotoshaji. Kikitokea Chama kikasema kitaondoa hayo mambo kabisa nitaujibu upotoshaji huo
Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.
Hamkawii kupiga kelele mnaonewa
CCM ni zaidi ya Shaka, maslahi yake yanalindwa na mzalendo yeyote. Shaka ana nafasi yake kama kiongozi nami nina yangu kama mwanachama lakini wote tuna jukumu la kuijenga CCM moja
Jibu hoja sio kkujilinganisha na USA.Sijailangisha Tanzania na USA kiuchumi ila nimeitumia Marekani kukupa picha kubwa ya tatizo la ujinga, umaskini na maradhi ambayo katika comment yako ya mwisho umewazungumzia.
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Yaani Majaliwa akose majibu wewe uyapate?.Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.
Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.
kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.
Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Tunaonewa kwa hoja au na polisi wa ccm?Hamkawii kupiga kelele mnaonewa
Hoja zote za wapinzani zina majibu yake na ya ziada msiwe wagumu kuyapokea kwa kuchezea takwimu halisi maana kuna kipindi fulani upinzani ulikuwa unapika data na kuudanganya umma.Tunaonewa kwa hoja au na polisi wa ccm?
Kwa hoja haitatokea
Kwa sababu upinzani wakiwa watatu tu wanatosha kwenda sawa na ccm nzima
ongezea wa vuziChawa
Yaani Majaliwa akose majibu wewe uyapate?.
Sikatai kuna changamoto lakini lazima changamoto ziwe zinaakisi ukweli wa hali kwa kuzingatia data zilizopo.Hayo ndio mambo hata rais hataki,
Hakuna mtu anashambulia, au anawasema vibaya ccm na viongozi wake
Watu wanatoa changamoto ambazo viongozi hawazifanyii kazi, sasa nyie kama chawa ndio mnaona kama mtu anaisema vibaya ccm while sio kweli
Uzi wako ungekuwa na maana na ungepata hata teuzi kama ungesema watu walete hoja na malalamiko Yao kuhusu ccm na viongozi then ww uyapeleke Kwa wahusika na uje na majibu