Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wabunge wa chama changu walikuwa wanakatwa mamilioni ya shilingi ili baadae pesa hizo zingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu. Lakini inasemekana pesa hizo zimeyeyuka kama barafu iliyoanikwa juani.
Leo hii mgombea wetu anafanya kampeni kwa tabu sana,maana watu wasiowema walimshambulia na kumpatia ulemavu. Kwa hiyo ni wazi kuwa anakuwa amechoka muda mwingi. Alihitaji awe anasafiri na helikopta ili asichoke. Lakini upotevu wa pesa zilizochangwa kwa ajili ya kampeni ndio sababu ya mgombea wetu kufanya kampeni kwa tabu na shida.
Mfano jana alipomaliza kampeni mkoani Mara haikupaswa atumie gari kwenda Karatu na maeneo ya Kilimanjaro,alipaswa apande helikopta. Nani wa kulaumiwa ambae ametulete tabu sisi na mgombea wetu Cdm?