Bwashee we unaongea au unaropoka kamwe hatuwezi mpakia kwenye chopa ni rahisi kufanyiwa hujuma kama filip njombe hata magu naye amekua mwerevu chopa kamwachia majaliwa we hujui hujuma labda ,alafu unadai pesa kapiga mbowe mimi sikatai kapiga lakini siyo kama usemavyo kumbuka gharama ya kila siku kwa kampeni ya lisu ni milion 37.4 kwa wastani .mpaka kampeni iishe almost ni around bilion 3 hapo bado gharama nyinginezo wabunge wanakatwa milion 60 kila mwezi piga kwa mwaka ni milion 720 ukipiga kwa miaka 5 unapata bilion 3.6 sasa nambie mbowe kapiga ela wapi maana ruzuku haitoshi kuendesha chama na pia hiyo ruzuku inaishia kulipia mishahara ya top managment mfano lisu analipwa milion 7 kwa mwez uje mbowe ,uje makatibu wa mikoa ,posho za vikao ,kodi na umeme ,matengenezo ya magari, yan hata ela ya kampeni haitoshi mbowe anaangaika kuraiz fund usiku na mchana wewe umekaa baa unajiandikia kistor chako ukiona sisi wajinga