Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #61
Kusema ukweli ndio nimekuwa mamluki? Basi nianike hayo majina matatu maana unatetea ufisadi.Wewe Mamluki siyo mwanachadema , na ukiendelea na ujinga tutakuanika waziwazi kwa majina yako yote matatu .