Uchaguzi 2020 Nitamlaumu Mwenyekiti wetu kwa kuruhusu hujuma

Ww mbona unajulikana ni kada mtakatifu tu, unaendelea kueneza propaganda tuu, ili ule buku Saba yako
 
Atumie gari ndo anawafikia mananchi wengi?

Nyie maccm mlimyima kibali Cha helicopter mkadhani mnamkomoa kumbe mnampaisha
 
Nijuavyo mimi hiyo michango ni ya kuendesha shughuli za Chama, Si za kampeni. Ndio maana walipata hati safi kwenye hesabu zao na pia PCCB wamejitajidi kuchunguza hatujui matokeo yake.
Tuacheni fitina. Kamanda usiyechoka yaelekea wewe ni wa kule naniliiii na Si Kamanda kweli. Hoja zako nyingi ni za kuponda BAHATI mbaya hufanikiwi kuhamisha mjadala muhimu.
Kwenye hizi pesa hata mimi ninanusa hujuma. Chama hakina pesa wakati kuna wabunge walikuwa wanakatwa mil 1.5 kila mwezi
 
Kweli CCM wanamgwaya Magufuli na mpwawe Doto James wezi waliokubuhu mafisadi trillioni 1.5 zipo Chato hela za vitambulisho zipo Rwanda kwa Kagame atakokimbilia mwizi men
 
Ile ilikuwa michango maalumu kwa ajii ya uchaguzi.
 
Acha hasira,ziko wapi hizo walizokatwa wabunge wetu? Mil 34 kwa siku tungechangisha wananchi? Acha stori za kitoto.
Pumbafu zinakuhusu nn we kibwengu wa lumumba.....hata ukiweka picha yaa lissu wew utabaki kuwa zombie la lumumba
 
Pumbavu, mmeishiwa cha kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…