Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #61
Kusema ukweli ndio nimekuwa mamluki? Basi nianike hayo majina matatu maana unatetea ufisadi.Wewe Mamluki siyo mwanachadema , na ukiendelea na ujinga tutakuanika waziwazi kwa majina yako yote matatu .
Bil 8+?Muwe mnaelewa
Jamaa kaeleza kuwa zile pesa zilizokuwa zikikatwa ndo zilimsaidia mgombea wao kupata matibabu short and clear
Weka mchanganuoBil 8 walizochanga wabunge zote zingetumika.
Mchanganuo wa nini?Weka mchanganuo
Kuna jamaa kaweka Mchanganuo kuwa kwa mwaka Chadema ilikusanya kwa wabunge milioni 720 kwa miaka mitano Ni bilioni 3.6. Sasa wewe hizo bilioni nane zimetoka wapi ndio naomba mchanganuoMchanganuo wa nini?
Huyo ni muongo.Kuna jamaa kaweka Mchanganuo kuwa kwa mwaka Chadema ilikusanya kwa wabunge milioni 720 kwa miaka mitano Ni bilioni 3.6. Sasa wewe hizo bilioni nane zimetoka wapi ndio naomba mchanganuo