Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Hommie kwa age yako hiyo unaweza kukubaliwa kwa kigezo kuwa vibabu wanakuwa sio wasumbufu l.o.l
kweliii eh ngoja nichonge na bibie mie usumbufu sina kabsaa
mmmhhh uzee tabu jamani,JF chat huijui?utanipa nini nikikuonyesha,eeeehhh,naaam.....l.o.l
sasa huko mi ntajuaje wewe ndo Michelle? unajua kwa umri wangu nikitongozwa huko naweza pasua laptopu buree!!
 
kweliii eh ngoja nichonge na bibie mie usumbufu sina kabsaa

sasa huko mi ntajuaje wewe ndo Michelle? unajua kwa umri wangu nikitongozwa huko naweza pasua laptopu buree!!

Natumia jina langu.......nawewe tumia lako! ukitongozwa mi ntalia kweli,yaani wamtongoze kijana muzee yangu???
 
Natumia jina langu.......nawewe tumia lako! ukitongozwa mi ntalia kweli,yaani wamtongoze kijana muzee yangu???
Ishu bado ipo pale pale waweza kusign off then kamichelle kengine kakaingia na kuanza kunitongoza huoni itakua tabu kesho nikukuuliza ya jana? Mi huko bana cji ukiona Kimey ujue sio mimi..!!
 
Ishu bado ipo pale pale waweza kusign off then kamichelle kengine kakaingia na kuanza kunitongoza huoni itakua tabu kesho nikukuuliza ya jana? Mi huko bana cji ukiona Kimey ujue sio mimi..!!

mmmhhh haya na mi siendi basi,kama huendi na mi siendi......naogopa kutongozwa na mwingine....l.o.l:laugh::laugh:
 
mmmhhh haya na mi siendi basi,kama huendi na mi siendi......naogopa kutongozwa na mwingine....l.o.l:laugh::laugh:
umeona dawa ni kugoma mpaka mods waturudishie ile ya longi...
Okay Mamito C u!! ngoja niingie counter ya juu....
wapi digidigi TF, tukapate mixer za tikila?
 
umeona dawa ni kugoma mpaka mods waturudishie ile ya longi...
Okay Mamito C u!! ngoja niingie counter ya juu....
wapi digidigi TF, tukapate mixer za tikila?

Enjoy,TF ashatangulia kaunta ya juu,utamuona hapo muda si mrefu!!
 
Tatizo lenu wadada ni kusema mnataka mwanaume wa jinsi hii na ile.
Ushauri: Kabla hujasema unachotaka ni vema useme wewe nawe uko vipi na una-offer nini.
Unaweza kumpata jamaa mwenye sifa hizo. Labda na yeye akasema anahitaji sifa ambazo wewe huna. Hapo ndio shida inapoanza. Mnaanza kuendelea kumsubiri huyo jamaa wa ndoto atokee hadi umri unakwenda mileage zinazidi, then mnaanza kuhangaika na wale uliowakataa mwanzo. Too late. Ndio frustrations zinaanza. LEARN TO COMPROMISE!! Huwezipata mtu mwenye vigezo vyote. Mfano akitokea jamaa mwenye hizo traits unazitaka lakini bahati mbaya kawa mweusi kama mpingo utafanyaje?
 
kama unasubiri ubavu wako kutoka kwa Mungu inakuwaje masharti unaweka wewe? inawezekana hao unaowakataa ndio ubavu ulioletewa, acha kuweka vigezo vingi namna hiyo coz ni vigumu kumpata mtu mkamilifu kwa kiila unachotaka wewe.
 
Wewe kaka utasemaje mtoto wako ni bahati mbaya, tafadhali badilisha usemi wako
 
Yaani raha kweli kufuatilia gumzo, yaani ni kama burudani tosha ukiwa umechoka au umeboreka

asanteni washiriki wote
 
anataka warefu wastani, hataki warefu ngongoch,i, sasa sisi mangongochi sijui tutachekwa hadi lini, mara hatuendani wake zetu wakitufikia mabegani, mara tutakuwa na mche mrefu..tabu tupu mtaani humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…